Tuchukue vijana toka shule za vipaji kama Kibaha, Ilboru, Mzumbe, Tabora nk, tuwasimamie wapate vyuo vya nje vinavyo ongoza katika Teknolojia, wasome wapate ujuzi kisha tuwarudishe nchini tuwape nyezo wanazohitaji ili wafanye mabadiliko makubwa katika Teknlojia na Uhandisi nchini
This is the Afrika we want
One Passport
One stock exchange
One currency
One army
One satellite
One language
One curriculum
One leader king/president
One nation... one country... One people... All present countries are provinces! No boarders.
Just United Afrika. ✊🏿✊🏿
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 17 Desemba, 2025.
The 2025 Understanding China Conference was held in #Guangzhou, the capital of south China's Guangdong Province, bringing together over 800 participants. They unanimously agreed that China's modernization benefits both China & the world at large.
To Morogoro region, the revitalization of TAZARA is really a good news. The RC of Morogoro, Mr. Malima excitedly shared the feeling with me while we were talking about the TAZARA Prosperity Belt and believes Morogoro will benefit greatly.
ELECTRIC TRAINS TO CITY MONORAIL: DAR ES SALAAM NOW LEADS
From being the only country in Eastern Africa to operate successful electric trains that lowered travel times from 9 hours to 3 hours from Dar es Salaam to the country capital Dodoma, now President Samia is championing monorail trains in Dar es Salaam which in the early phase will cover about 160 km.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitangaza Baraza jipya la Mawaziri, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 17 Novemba, 2025.
Congratulations to Tanzania on being officially recognized as the 104th member country of the Asian Infrastructure Investment Bank (#AIIB). This will provide strong support for Tanzania's infrastructure development & economic growth. @UbaloziChina
MCHAKATO UNAOFUATWA PAPA ANAPOFARIKI HADI KUPATA PAPA MPYA
1. UTHIBITISHO WA KIFO
• Camerlengo (Chamberlain wa Kanisa Takatifu la Roma) ndiye mtu pekee anayethibitisha rasmi kifo cha papa.
• Kijadi, papa anapofariki na madaktari kuthibitisha, Carmelengo husimama kando ya mwili wake na kumwita papa kwa jina lake la ubatizo mara tatu akingojea jibu. Papa akiongea au kuonyesha ishara yoyote, anajua kwamba hajafa. Asiposikia jibu wala ishara yoyote baada ya kuita jina lake la Ubatizo mara tatu, basi Carmelengo huthibitisha kwamba "Papa amekufa kweli."
2. KUVUNJWA KWA PETE YA PAPA
• Hatua ya pili ni Carmelengo kuivunja pete ya Papa. Papa huvaa pete maalumu ya kitume ambayo hujulikana kama "Fishermans ring" (Pete ya Mvuvi). Inaitwa hivyo kurejelea wito aliopewa Petro ambaye alikuwa mvuvi na Yesu akimwambia 'tangu sasa utakuwa mvuvi wa watu'.
• Papa huvaa pete hiyo kushika daima agizo hilo la Yesu la kuwa mvuvi wa roho za watu.
•Pete hiyo hutumiwa pia na Papa kutia muhuri katika hati na nyaraka rasmi za Kanisa zinazohitaji uthibitisho wake.
• Baada ya kifo cha Papa, pete hii huvunjwa mara moja kwa nyundo kuonyesha mwisho wa uongozi/mamlaka yake ya kuliongoza Kanisa ili kuzuia uwezekano wa kutumika kughushi nyaraka.
• Muhuri wake wa upapa pia unaharibiwa mara moja.
3. KUPIGWA KWA KENGELE MAALUM YA MAOMBOLEZO
• Kengele katika Basilica ya Mtakatifu Petro, hupigwa mfululizo kwa mlio maalum wa taadhima, huzuni na maombolezo kutangaza na kuashiria kifo cha Papa kwa ulimwengu mzima.
• Makanisa kote ulimwenguni yanaweza pia kupiga kengele zao baada ya kengele hiyo ili kuwataarifu waamini wote juu ya msiba mkuu uliolipata Kanisa lote na hivyo kuwaalika kwa maombolezo.
4. KUFUNGWA RASMI NA KULINDWA KWA MAKAZI YA PAPA
• Nyumba aliyokuwa akiishi Papa hufungwa rasmi na kuwekwa ulinzi maalum kuyalinda makazi ya Papa.
• Walinzi maalum wa Papa (Swiss guards) huendelea kulinda makazi ya Papa na viunga vya mji wa Vatikani, kuhusika katika kusimamia maziko ya Papa aliyefariki na kuwalinda Makadinali wakati wote wanapoendelea na mchakato wa kumchagua papa mpya.
4.1 WALINZI WA PAPA AU WALINZI WA KISWISS
•The Swiss Guards au The Pontifical Swiss Guards au Papal Swiss Guards ni wanajeshi spesheli ambao wanahusika katika kumlinda Papa na mji wa Vatican (to protect the Pope and the Vatican City State).
• Ni walinzi wanaoweka kiapo maalum cha utii kwa Baba Mtakatifu na hivyo kujitoa kumlinda Baba Mtakatifu popote alipo. Ni moja kati ya majeshi madogo ulimwenguni lakini wenye werevu na umahiri mkubwa na wamekuwa wakiwalinda Mapapa tangu mwaka 1506.
• Tofauti na majeshi mengine, walinzi hawa (Swiss guards) huvalia mavazi maalum ya tangu kale na ni tofauti kabisa na mavazi yanayotumiwa na majeshi mengine.
5. SIKU TISA ZA MAOMBOLEZO (NOVEM DIALES)
• Baada ya kifo cha Papa, hufuata siku tisa rasmi za maombolezo ziitwazo Novemdiales.
• Mwili wa papa huwekwa wazi katika Basilica ya Mtakatifu Petro Vatican kwa ajili ya kutazamwa na watu wote na kusali.
6. MAZISHI
• Mazishi ya papa hufanyika katika Uwanja wa Mt. Petro mjini Vatikani.
• Kwa kawaida, Mapapa huzikwa kwenye makaburi maalum ya Mapapa yaliyopo chini ya Basilica la Mt. Petro, ingawa papa mwenyewe anaweza kuomba kuzikwa eneo tofauti na hapo.
• NB: Papa Fransisko, kupitia wosia wake aliouandika tarehe 29 June 2022, na kuukabidhi kwa Carmelengo, aliomba kuzikwa katika Kanisa Kuu la Maria Maggiore na hivyo anakuwa Papa wa kwanza kuzikwa nje ya mji Vatican katika kipindi cha zaidi ya miaka 100 iliyopita.
• Hivyo, Papa Francis hatazikwa katika Basilika la Mt Petro, bali atazikwa katika Kanisa kuu la Maria Maggiore lililopo nje kidogo ya Mji wa Vatikano.
7. KITI WAZI (Sede Vacante)
• Sede Vacante humaanisha "kiti kiko wazi.", yaani kiti cha Papa kiko wazi.
• Wakati huu wa Sede vacante, hakuna maamuzi yoyote makubwa yanayochukuliwa wala mabadiliko makubwa yanayoweza kufanywa na Kanisa bila uwepo wa Baba Mtakatifu ambaye ndiye huadhinisha maamuzi yote makubwa yanayohusu Kanisa..👇