#Tbt Miaka minne iliyopita tuliandaa tukio letu la kwanza ambapo tulialika marafiki ili kuwashirikisha maono ya kugusa maisha ya watu. Tukio hili lilihudhuriwa marafiki mbalimbali akiwemo #GodwinGondwe (Aliyekuwa mgeni rasmi) @AngelBenard@Chris_Mauki#HarrisKapiga na wengine.
Mwimbaji wa nyimbo za injili @AngelBenard ameachia Ep inaitwa #Hallelujah🙏🏽 Exclusive kupitia App ya Boomplay.
Bofya link ili kusikiliza Ep hii kisha share na marafiki zako ili uweze kubarikiwa❤️🙏🏽 https://t.co/ylW40S6WYZ
#HomeOfMusic
Karibu usikilize Album mypa ya rafiki yangu @AngelBenard
Ni matumaini yangu hizi nyimbo zitakubariki na kukuburudisha kila utakaposikiliza pamoja na watu wako wa karibu.
✨✨✨✨✨
Ep ya album ya HALLELUJAH tayari inapatikana Boomplay. Ni maombi yangu kwamba nyimbo Hizi zituhudumie na kutupa hatua katika Imani.
Blessings.
https://t.co/4pPVoCfVkx
Nitakutafuta Mapema, sitasubiri mambo yawe magumu ndipo nije kwako. Nitakuishia na kipiga hatua pamoja na wewe. Ili magumu yakija niwe na utulivu na kujua nipo pamoja na WEWE.
#KiuYangu
https://t.co/rVJsvC7Wmi