Tazama, nitatenda neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani.--Isaya 43:19
Leo yako ni Njema in Jesus name!! Mungu akafanye jambo jipya kwenye maisha yako LEO.
Ninakuombea umjue Mungu, nae akutumie kukomesha mateso yote kwenye familia yenu.
Kama jinsi Rahabu alivyokua chanzo cha familia yake kutokuangamizwa,
Na kama jinsi familia ya Yakobo ilivyopona kutoka kwenye njaa kupitia kwa Yusufu.
December ni Mwezi aliozaliwa Emmanuel Simwinga. He is part of Worship Gathering Tz Famili. Anakualika na kukuambia TUNAKUTANA TAREHE 21 PALE MBEYA KUONA WAFUNGWA NA KUMSHUKURU MUNGU.
Cc @Izzo_bizness@Sajjo@iGodmanHustler@arnwillz
It's DECEMBER (MWEZI WA UREJESHO )
Hagai 2:9
Utukufu wa mwisho wa nyumba hii utakuwa mkuu kuliko utukufu wake wa kwanza, asema BWANA wa majeshi; na katika mahali hapa nitawapa amani, asema BWANA wa majeshi.
*1 Yohana 5:14-15*
Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia. Na kama tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba.
“ Uamsho usipoingia kwenye mifumo haudumu, Unakufa.
Upinzani mkubwa wa Uamsho ni mifumo.
Hivyo Mungu anatumia mafundisho kuandaa watu kimkakati ndani ya mifumo kuombea Mifumo ili ipokee Uamsho.
Kuna Uamsho mkubwa unakuja Nchini na Utaingia kwenye kila Mfumo ”
- Mwl Mwakasege
Malaki 3:10
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
Wapendwa, kama mioyo yetu haituhukumu, tunao ujasiri mbele za Mungu, lolote tuombalo, twalipokea kutoka kwake, kwa sababu tumezitii amri zake na kutenda yale yanayompendeza.
1 Yohana 3:21-22 🙏🏽