@MarekaMalili@_Kellystore Bila kupunguza/dogosha bidii ya mtu yeyote, mfumo wetu wa maisha haumpi mtoto wa kike gharama kubwa za kimaisha kulingana na mtoto wa kiume. Hali hii huwasaidia sana watoto wa kike kufanya saving
Guys!! Apart from viatu kuuza.
Nina toa huduma ya fleet management solutions. Yani tracking services za magari, machines, pikipiki, bajaji, generators yanii vyombo vya moto.
Simu ziite basi!!
Dm pia iko wazi.
Ukinipa mteja pia utakula commission!
Chuo cha UDSM kimeondoa Sup and special kufanyika mwezi wa Tisa kwahiyo uki sup paka mwaka mwingine wa masomo ndio utaenda kusapua na madogo wakati wanafanya semister examination.๐ค
Na hili uendele mwaka mwingine wa masomo na hizo sup zako lazima uwe na GPA ya 2 kwenda juu hawacheki na mtu.
Nasikia SUA hii system ipo toka 2023 lakini huwezi fananisha ugumu wa chuo cha kilimo na UDSM.
Ukiona mtu kafikia hatua ya kuwa komandoo mheshimu sana anakuwa kapitia mafunzo mengi magumu na kavumilia mengi.
2015 nilikuwa na mwanangu mmoja anaitwa Chuma Miringe jamaa alikuwa ni mtu wa mazoezi sana mpole kiasi ila ukimchokoza dakika mbili tu anaweza badilika na kuwa kama simba mkali.
Nakumbuka wakati ule lilitokea tangazo la nafasi za kujiunga na jeshi, Tulituma maombi wote tukaitwa mpaka kwenye usahili sema mimi sikutoboa kwa kuwa nyayo zangu hazikuwa na uvungu mwanangu Chuma Miringe akatoboa.
Nikamtakia kila la kheri kuelekea kwenye mafunzo ya kuwa mwanajeshi, Jamaa alipotea ghafla walivoanza mafunzo lakini baadae alikuja kunitafuta kuwa anaelekea kumaliza kozi nitokee kwenye mahafali yake Msata pale .
Nikafika siku ya sherehe jamaa nikaona kapewa zawadi mbalimbali ikiwemo zawadi ya kuwa mlengaji bora wa shabaha nikajisemea hakika jamaa kapambana sana.
Haikupita muda mrefu akanambia tena anaenda kozi huko 92 nikamtakia kila la kheri akanambia hiyo kozi ni ya wanaume tu hakuna mwanamke huko.
Nikamuuliza huogopi mbona hiyo inaonekana ya moto sana akasema haogopi kitu.
Lijamaa likajiunga na hao 92 huko nikawa silipati hata kwenye simu hadi nikawa naogopa kuwa au jamaa ashaenda kwa Mungu Baba.
Baadae sana akaja kunicheki kuwa tukutane nae Arusha pale , Aloo siku naonana nae jamaa sura ilikuwa imekomaa kama kisiki cha mpingo mwili umekuwa mdogo mdogo ila sasa umekomaa kama mbuyu.
Nashangaa jamaa ana rasta kama bob marley ndevu nyingi kama osama, Nikajua jamaa alikimbia mafunzo akanambia kwa sasa yeye ni special force.
Tukaingia kwenye bar moja kugida safari lager mdogo mdogo, jamaa hadi kuongea kumebadilika anaongea kwa sauti kama ya kukoroma hivi huku na kule kuna jamaa pale bar akamchokoza kwa makusudi na akamtukana matusi ya nguoni.
Nashangaa jamaa limetulia tu halikiwashi hadi nikatamani nimwambie si umfunde adabu huyu chali, Sasa yule chali alijichanganya kitu kimoja kikubwa sana alichukua safari lager ya jamaa akaimwaga chini.
Oyaaa kumbe wale makomandoo wanafundishwa hadi kupandisha mizuka.
Pale pale Chuma Miringe aliruka sarakasi fulani hivi nikashtukia tu yupo juu ya meza bro....Aliruka flying kick moja kama zile za don yen akapiga teke fulani hivi la karate likampiga yule chali kichwani.
Kumbe chali ana gang ya watu kama ishirini hivi wakatokea kupambana na Chuma Miringe oyaaa...Chuma alikuwa anaruka mateke ya taikwondo kabisa kabisa teke moja lilikuwa linapiga hadi watu wawili.
Afu hapo hatumii mikono ni mateke tu walichezea kipigo wale machalii kuna muda Chuma Miringe alikuwa anambaa ambaa na ukuta akirudi anarudi kama kimbola anawachukua teke wanarushwa juu na kuanguka kama viroba puuuh.
Huwezi amini bila mimi kutuliza mizuka ya Chuma Miringe tungeokota meno mengi sana pale ndani.
Ilibidi niite Chuma Miringeeeee....Utawauaaaaaa, Niliita kama ile Dj Mishizoooo....Utawauaaaa
Ndio jamaa akapoa naona mikono inatetemeka tu, Machalii wote chini wanaomba tu misamaha.
Badae tukiwa njiani nikamuuliza sasa ungewaua ingekuaje akasema mapigo aliyokuwa anapiga hayakuwa ya kuua yalikuwa ya kuwalegeza tu majanja.
Baada ya miezi kadhaa jamaa tukapotezana nae mpaka leo sijui aliendaga wapi hatuwasiliani tena๐ซก
@AFC_OlaitaN Kane was dropping down to play line breaking passes for someone who is an attacker, meanwhile Kai had played 0 line breaking pass worse thing is the one who was attacking space is the defender who can hardly score