Mimi ndio maana sitakagi kuwa kwenye relationship na watu wa twitter..
See what happened yesterday..
Ni aibu kwa wana TOT..
Binti wa watu mmemdhalilisha kwa faida yetu..
Mimi nimesoma IFM Bachelor of Science in Insurance
and Risk Management class ya 2020..
Comment chini umesoma chuo gani class ya mwaka gani?? Tujuane plzzz