Sikujua na wala sikufikiria kuwa janga hili la Corona lingaliathiri pia uhusiano wa kimataifa na hasa wa kikanda.Nilidhani janga hili lingalitufanya tushirikiane na wenzetu Duniani katika kupambana nalo kitaalam. Lazima tuende na wenzetu la sivyo tutatengwa na tutaumia sana!
Tanzania ndo nchi ya kwanza Duniani timu ya taifa inapocheza na timu zingine television za taifa yani TBC hazirushi matangazo ya moja kwa moja kuona mpambano
Kwa wananchi wake.kupitia Tv ya taifa.halafu mnategemea watu waipende taifa stars.