Hatukui kwa kuwakosoa waliotutangulia, bali kwa kujifunza kutoka kwao.
wao wametutengenezea njia ni jukumu letu kuifuata, kuiboresha, na kufanya yale ambayo hawakuweza kufanya.
Lawama hazisaidii. Changamoto zipo katika kila sekta,kilicho muhimu ni jinsi tunavyokabiliana nazo.