@1960Remija Mnang'ang'ania Nini mnataka atumike tu baadae muda ukimtupa mkono mtamchangia acheni vijana watafute maisha. Mngekuwa watu wema tungeona kwa mifano kwa wachezaji waliokuwa kwa wananchi Sasa hivi hawapo vizuri. ACHENI MAMBO YENU
Ufunuo wa Yohana 2:7
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu.
Wakupiga makofi wamemgeuka mwenzao. Wakati mama Alisha wasoma wote. Yani mama anamjua mtoto kuliko kitu chochote. Hata Kama ukijikosha anajua tu. Maana yeye Ni zaidi yako. Bora mkae kwakutulia.