MKURUGENZI MTENDAJI WA @TIPOfficial__ pamoja na TIMU YAKE YOTE ,KESHO IJUMAA ANAJAMBO LA KUTUSHIRIKISHA. JOIN US KUPITIA KURASA ZETU.
@TIPOfficial__@agpahi
Umoja wa Taasisi nne za dini nchini (TIP) ikishirikiana na wadau mbalimbali imewatumia wanawake wenye ushawishi kutokomeza ukatili wa kingono kwa watoto kupitia mradi wa Boresha unaotekelezwa kwenye halmashauri ya Buchosa iliyopo katika wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza.
Talk to your partners and friends about knowing your status and getting tested. Knowing your HIV status helps you choose options to stay healthy. HIV testing is free, fast, and confidential. The only way to know for sure whether you have HIV is to get tested.