Tumbaku Imebadilisha Maisha ya Wakulima Urambo Sasa Mama Samia Anakuza Thamani ya Jasho Lao! Hakika mama Samia ni kiongozi anaejali wananchi wake ✅
OKTOBA TUNATIKI KWA KISHINDO KWA MAMA SAMIA ✅✅
https://t.co/0Nmajy93Qf
Maelfu wajitokeza Urambo kumpokea kwa shangwe Mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea kunadi sera na Ilani ya Uchaguzi ya 2025/30 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Oktoba tunatiki Kwa Mama Samia Kwa kishindo
IGUNGA TABORA YAITIKIA KUTIKI OKTOBA 29, 2025.
Wananchi wa Igunga Mkoani Tabora wamethibitisha kuwa CCM inakubalika kila mahala kutokana na umati unaoendelea kujitokeza katika mikutano ya kampeni za mgombea urais kupitia CCM na Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu Dkt. Samia Suluhu
Leo historia inaandikwa Singida! Mama yetu, Rais @SuluhuSamia, anakanyaga ardhi ya Singida akibeba matumaini na dira ya maendeleo ya taifa letu. Ni siku ya mshikamano, mshikikano na shangwe kuu kwa mama
Octoba tunatiki
Mama mitano tena
WATANZANIA MSIWE WAJINGA WA KIASI HIKI
Tuko kwenye kampeni na tusingependa kujadili mambo yanayoonekana ya hovyo na ya kijinga!. Lakini hayapaswi kuachwa maana yanaleta ukakasi sana!.
Hivi Tanzania inapokuwa na ugeni wa maofisi wa kijeshi kutoka nchi nyingine na wakapokelewa ama wakasindikizwa airport na mabasi ya jeshi ni kosa?
Ujumbe wa kijeshi wa Tanzania unapokwenda nchi za nje na kupokelewa au kusindikizwa na wanajeshi wa nchi husika ni kosa? Au nao wanakuwa wamekwenda kule kuonana na mtoto wa Rais wa nchi hiyo?
Tumekuwa ni taifa la kulisha watu chuki na ujinga left right kwa lengo la kuchochea chuki na ugomvi kati ya serikali na watu wake!..
Yaani serikali au vyombo vya usalama viache kufanya mambo yao kwa kuwa kuwa watu wataropoka maujinga na blah blah wanazoita harakati!
Tumemaliza kwenye magari ya kifahari na kontena la silaha za kuwapa watekaji na kutaka JWTZ wapindue serikali sasa tuko kwenye mambo ya kusindikizana airport au vipi !.. Bado tuna unfollow wasanii wa CCM? 🤣🤣
Haya mambo ndiyo yanafanya harakati zionekane ni upumbavu na ujinga sana Tanzania.
Haya ngoja tungoje maandamano tarehe 29.10.2025 🤣🤣
#KigogoMediaUpdates
(Day 8/60 ya kampeni za CCM)
MBEYA MJINI LEO🔥
DKT. SAMIA TAYARI AMESHAWASILI UWANJA WA OLD AIRPORT MBEYA
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshawasili katika Uwanja wa Old Airport mkoani Mbeya kwa ajili ya kunadi ilani ya CCM
#KigogoMediaUpdates
𝗡𝗬𝗢𝗠𝗜 𝗟𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗩𝗢𝗠𝗘𝗥𝗢 𝗪𝗔𝗠𝗣𝗢𝗞𝗘𝗔 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔
Ukisikia nyomi ndio hili na hili si nyomi tuu bali ni nyomi la upendo wa wananchi wa Mvomero mkoani Morogoro waliojitokeza kumpokea na kumsikiliza mgombea Urais wetu wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 aliyetekeleza ilani ya chama chetu ya mwaka 2020/25 kwa kishindo cha zaidi ya asilimia 100.
Nyomi hili linaashiria kukubalika kwa Mgombea wetu na kuongeza hamasa kubwa ya kuendelea kuchapa kazi kwa mgombea wetu.
Mvomero mmemuheshimisha mgombea wenu✅
#SafariYaCCM
#SafariYaUshindi
#OktobaTunatiki✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele
UWANJA WA FURAHISHA MWANZA, NDANI NTINTI, NJE NTITI
Maelefu ya wakazi wa Mwanza wapo furahisha muda huu kusikiliza sera za Chama cha Mapinduzi kutoka kwa Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais, Dkt. Emanuel Nchimbi.
#BimkubwaTumekuverify#FursaZiendelee
https://t.co/35eCTs7Cpo