Zimebaki siku mbili tu!! Tukutane Mlimani City kukiwasha, Jumamosi hii.
Kutakuwa na zawadi kibao kwa washindi, pamoja na gift voucher ya 50,000/= kutoka Skechers.
Ticket zinapatikana Nilipe app kwa Tsh 35,000/= tu.
https://t.co/iYrGjYYXGX
#Active4Education#NIEFitnessChallenge
Januari 26,2023 Dar es Salaam. @TAMWA_ wametoa mafunzo ya Kifeminia kwa Mameneja na Wahariri wa vyombo vya habari kwa lengo la kuwaongezea uelewa juu ya ajenda hiyo na kuongeza usawa wa kijinsia katika sekta ya habari. #VunjaUkimya#WomenInMediaTz#ZuiaUkatili
Head of Customer Experience @nmbtanzania@AbellaTarimo talk to @thecitizentz about women empowerment and her long journey to deserve top NMB leadership.
Get yourself a copy of The Citizen to read the full story, you can also watch the interview on Mwananchi YouTube Channel.
Last night i had a great time modarating #TheCitizenRisingWoman where I met alot of incredible women who have succeded in their careers journey, we had a great discussion concerning women empowerment. This is my second time moderating this event, can't wait for the third edition
I'm honored to moderating #TheCitizenRisingWoman today from 5pm - 9pm (EAT).
Theme: Equality today for a sustainable tomorrow.
The event will be aired live through all Mwananchi Digital platforms so please be sure to tune in.
#BreakTheBias#iwd2022
Kongamano la Sekta ya Elimu linaendelea muda huu.
Venue: UDSM Library Conference Hall
Mada: Ukuaji, Changamoto na Mustakabali wa sekta ya Elimu Tanzania
#Miaka60Pamoja#WikiyaElimu
"In 2007 we started online banking and in 2013 we started collaborating with companies in the financial sector where now people are doing transactions through their phones" Standard Chartered Bank CEO, @srughani#TogetherAt60🇹🇿
"I think all banks now allow people to open accounts without even going to the bank branches and here we are talking digitalisation, and for now digital transactions are now 60 percent and here the government has contributed significantly". Sanjay Rughan #TogetherAt60🇹🇿