Nyumbani kwetu hapakua mahali pazuri ki uchumi hivyo tulilazimika kufanya kazi ili pengine tubadili historia amini hata hivyo haikua rahisi lakini nachoamini nikwamba ukihangaika pia Mungu hufurahishwa na juhudi.
Mtu anapokuchukia au kukutendea mabaya au kukudharau angali mambo yako yanaenda kwako ichukulie kama fursa yaani opportunity, yaani changamoto ndogo, akili yako iwe kwenye pesa tu wewe songambele...