@VodacomTanzania M-Wekeza haieleweki, DM hamjibu mnaachia bot. isiyohaijielewi. Terms and condition hamna, mmeweka ya mpesa tu kwenye mwekeza. Interest randomly change dont know why? Statement nikijitumia haziendi… maelezo tafadhali na wekeni taarifa za kutosha kwenye app
MICHEZO: Ikiwa Mashindano ya Olimpiki (Olympics) yamemalizika leo Agosti 11, 2024, Wanamichezo 7 walioiwakilisha Tanzania katika Mashindano hayo watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote
Aidha, mara ya mwisho Tanzania kupata Medali ya Fedha ilikuwa ni kupitia Wanariadha Filbert Bayi na Suleimani Nyambui mwaka 1980
Mdau unadhani ni hatua gani zichukuliwe ili Tanzania iweze kuchukua Medali ikishiriki tena Mashindano haya 2028?
Soma https://t.co/of1groKazS
#JamiiForums #JfSports #OlympicGames2024
@tanpol tunaomba hili swala la kukosea namba za magari wakati wa kuandika fine lipatiwe ufumbuzi. Ni mara ya tatu sasa naandikiwa fine isiyo nihusu. Kutatua hili unachukua zaidi ya masaa matatu na wakati mwingine siku inapotea. Wao kirahisi wanakwambia kwa harakahara ilipe tu.