Alhamdulillah safari kuisaka Journalism ilianza 2018 now imetimia, na nimeondoka na vyeti vinne vya ubora, Best News Anchor, Best Reporter, Best Producer na Best Graphics Designer
Aliniambia kuhusu upendo, akanionesha madhara ya kuniacha peke yangu..
Alichoshindwa kunieleza kiundani, ni vipi nitageuza zamani yetu, irudi kuwa na sisi muda huu...
Alinieleza kuhusu usaliti, nikazoea uwepo wake, mwisho akaondoka kabla sijajifunza kuishi bila yeye..๐โ๐ป
Akiwa anajibu "mmmhh, mmmhh", kata simu..
wanapokea ili wasiulizwe kwanini hawapokei, na wanaongea ili wasionekane kwanini hawaongei..
eleweni hizo Mmmh za watu..
Ya Allah, kesho nikipoteza matumaini, nikumbushe kuwa mipango yako ni bora kuliko ndoto zangu..
Sauti yangu ikikwama kukufikia, tafadhali usikilize moyo wangu...
Usinichoke, mi sina pa uhakika zaidi ya hapa, kesho narudi tena...๐๐ป
Waambie shoga zako, sikuwa na pesa kama wale, ila nilikuwepo kwenye changamoto zako...
Sikukupa kila unachotamani, ila sikukunyima nilivyoviweza...
Wao walipewa wanaume matajiri lakini wabinafsi, wewe ukawa na mimi mwenye kidogo lakini sio mchoyo...
Pole kwa kunipoteza...๐
Ukiangalia juu utaona duara kamili linalozunguka Jua! ๐โจ
Hii inaitwa โHalo ya Juaโ, na hutokea pale mwanga wa Jua unapopenya kupitia barafu ndogo ndogo zilizo kwenye mawingu marefu (cirrostratus clouds). Barafu hizo ndogo hufanya mwanga wa Jua kupinda na kuakisi.
โFuta Netflix kwa afya ya watoto wakoโ Elon Musk. Tajiri ameandika maneno hayo akiashiria kuwa Netflix inahimiza masuala ya watoto kubadili jinsia zao.