@VungaEl74 Acha upotoshaji kijana Irani ipo makini kushinda unavyofikiri wewe na kuhusu propaganda Marekani ndio anazileta hizo mambo na ndio mana Irani hana maneno mengi yeye anazidi kushambulia tu
@HecheJohn yani tatizo watu wanasahau sana OK any way washahili wanasema dunia duara na mtendwa hutendwa na Mala zote mkuki ni kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
Leo trh 11.10.2024 nimepata nafasi ya tujitokeze kujiandikisha katika daftari la mkazi la mpiga kura ambalo limeanza leo, wito wangu kwa vijana wenzangu tujitokeze kujiandikisha katika daftari la mkazi la mpiga kura hii itatupa fursa ya kumchagua kiongozi tunaemtaka.