Mwisho wa uzi wetu please 🙏 repost ukimaliza kuusoma ukimuacha El mencho aliyeuliwa na jeshi la mexico.. unachotakiwa ujue toka zaman wauza madawa matajiri kama Pablo escobar na El chapo wote wanatokea mexico ...kwa kifupi mexico sio kwa mtu mnyonge.
+100 ODDS You can take from each TOP to make your edit, a small edit from you can also make the difference, I hope there will be a lot of gain this weekend
7. Siku moja baada ya ajali ya kutisha, dunia ilikaa kimya. Miji mikubwa kama New York, Tokyo, Paris, na Rio zilionekana kama zimehifadhi pumzi.
Mamlioni ya watu walilia, wengine kimoyomoyo, wengine hadharani — bila hata kuelewa ni kwa nini iliuma sana.
Lakini ukweli ni kwamba… Kobe hakuwa tu mchezaji wa mpira.
Alikuwa mfano wa mtu ambaye hakubali mipaka.
Alikuwa sauti ya mtu anayejifunza, anayeanguka, anayeamka, na anayetembea tena — kwa kasi zaidi.
Mastaa wa NBA waliangua kilio.
Lebron James aliandika kwa machozi:
> “Nataka kusema zaidi, lakini siwezi. Nimeumia sana.”
Shaquille O'Neal, ambaye walikuwa na mvutano wa miaka mingi, alisema:
> “Nimepoteza ndugu yangu. Dunia imepoteza bingwa wake.”
Na barua ya mwisho kutoka kwa mashabiki ilikuwa rahisi lakini nzito:
> “Kobe, ulitufundisha kupambana. Ulitufundisha tusikate tamaa. Ulitufundisha kupenda kazi yetu kwa moyo wote. Asante.”
Katika viwanja vya Lakers, watu walileta maua, viatu, jezi, barua… hata watoto wadogo walichora picha za Kobe na Gianna, wakilia:
> “Rest in Peace, Mamba & Mambacita.”
Na sasa, jina lake linaishi katika:
Mamba Sports Academy
Gianna Bryant Fund
NBA All-Star MVP Award (sasa linaitwa Kobe Bryant MVP Award)
Lakini hata zaidi ya hayo, Kobe anaishi katika mioyo ya wale wote waliowahi kupambana kwa bidii kufikia ndoto zao.
> “Heroes come and go, but legends are forever.”
Na kweli, Kobe Bryant ni hadithi isiyoisha.
Aliondoka akiwa na miaka 41.
Lakini katika miaka hiyo, aliishi kwa nguvu za miaka 100.
Na tukimkumbuka, tunakumbuka si tu mchezaji, bali roho ya kupigania ndoto, roho ya baba, rafiki, mwalimu, na mtu ambaye aliamini kwamba:
> “Greatness is not for the chosen few — it’s for the few who choose it.”
Asante, Kobe.
MWISHO WA SIKU SOTE NJIA YETU NI MOJA BILA KUJALI WEWE NI NANI!! 👊🏿
Champions league predictions
🇪🇸Barcelona⚡️Benfica🇵🇹
💡Barcelona either half
🏴Liverpool⚡️ PSG🇫🇷
💡handicap 2(0-2)
🇮🇹Inter⚡️Feyenoord🇳🇱
💡inter either half
🇪🇸Atl. Madrid⚡️Real Madrid🇪🇸
💡Qualified 2
Dada wa Mziki, ucjibu kila kashfa mda mwingine una potezea dada wa Taifa💚💚 wacha wao wajifurahishe km wakikebehi watu kuna kitu wanapata👈👈 ww songa mbele🤝🤝🤝🤝
Halafu mnaotumia ugumba sijui tasa sijui ajuza kama tusi. Wapo ambao mnafanya nao harakati na hawana watoto na ni wakubwa kuliko mimi. Kwahiyo nao mnawakebehi? Siku hizi mbona wala sio issue kama una budget ya IVF na hata surrogate. Mko Dunia ya nyuma.
Repost Tafadhali 🙏
Tafadhali follow Ukurasa Rasmi Unaotoa Habari za Manchester United kwa Lugha ya Kiswahili @Unitedtanzania1 Tunaomba Sana Repost/like na comment yako kila tunapo post ili page yetu pendwa izidi kua kubwa Asante 🙏 #FACUP24#MUFC