Baada ya mazoezi yake ya kijeshi kwenye maji ya Karibu na Taiwan Kwa jeshi la China, Taiwan imejibu mazoezi hayo jumanne na kusema kuwa iko tayari kulinda nchi Yao ikiwa itavamiwa na China, Biden aliahidi Taiwan usaidizi wake ikiwa itashambuliwa na China
Process gani? Ilikuwaje wakakamatwa? Vipi walifanikiwa? #PichaLinaendelea huu ni mwanzo tu wa story
Usikose kutuskiliza kila Jumamosi kuanzia saa 9 alasiri mpaka saa 10 jioni kupitia @earadiofm
"Utawala wa Magharibi ndyo kikwazo cha kumaliza mzozo nchini Ukraine" Waziri Mkuu wa Hungary Orban:
Akizungumza uko Romania mjini Bäile Tuşnad, waziri mkuu wa Hungary asema kwamba "huenda vita hivi vitamaliza kabisa utawala wa Magharibi, ambao umeweza kwa njia moja ama 👇
matatizo ya ulimwengu wa magharibi yatakuwa yamekusanyika. Kutakuwa na mgogoro mbaya sana nchini Marekani. Karibu kutakuwa na mtikisiko wa kiuchumi katika nchi za Ulaya, ambao unaweza pia kusababisha dhoruba za kisiasa. Hapo ndipo tunapohitaji kuwa katika hali nzuri: tunahitaji👇