Kwa ujumla , gharama ya Tanzania kuagiza vyakula inapungua, hata hivyo, makundi makubwa matatu ya vyakula yanayoagizwa ni pamoja na ngano, mafuta ya kula na sukari. @tzagriculture @tadbtz @KilimoForum
Overall, Tanzania’s food import bill is on the decline, however, the top three largest food imports remain wheat, edible oil, and sugar.
@tzagriculture @BankOfTanzania @KilimoForum @GBI_EAGC
Matokeo ya sensa ya watu Tanzania yametoka hivi karibuni. Matokeo hayo yanaonyesha kuwa kasi ya ongezeko la watu Tanzania ni asilimia 3.2. Wakati wastani wa ukuaji wa sekta ya kilimo katika kipindi cha miaka 20 iliyopita ni asilimia 6.1tu....
The latest population census for Tanzania shows that the current Tanzanian population growth rate is 3.2% while the average agricultural sector growth rate is only 6.1% for the last 20 years! Population growth could soon catch up with food production unless 👇
There are 3 key factors to enhance livestock productivity: Improved breeds, Nutritious feed, and Improved husbandry including management of pests and diseases. However, there is still room for improvement in Tanzania....
Kuna mambo matatu muhimu ya kuzingatia ili kuongeza tija katika ufugaji: Mbegu bora za mifugo,Lishe bora, na Mbinu bora za ufugaji ikiwa ni pamoja na udhibiti wa wadudu na magonjwa. Tanzania bado ina uwezekano mkubwa wa kuongeza tija kwenye ufugaji....
Pamoja na kuwa nchi ya pili kwa wingi wa mifugo Afrika, tija ndogo imesababisha kuwepo kwa mchango mdogo wa sekta ya mifugo kwenye uchumi wa nchi. Jedwali hapo chini laonesha nafasi ya Tanzania ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika:
Despite being the 2nd in livestock population in Africa (after Ethiopia), low productivity in the livestock sector in Tanzania has resulted in the sector’s low contribution to the economy. See how Tanzania fares against other African countries below:
Bajeti ya Wizara ya Kilimo ya 2022/23 imeweka kipaumbele kwenye kuongeza tija ya kilimo. Bajeti iliyotengwa kwa Utafiti imekua kwa 250%, Uzalishaji wa Mbegu kwa 307%, Umwagiliaji 677% na Huduma za Ugani zimekua kwa 30%.
@tzagriculture
The 2022/23 Ministry of Agriculture budget has prioritized agricultural productivity. The budget allocated to Research has grown by 250%, Seed Production by 307%, Irrigation by 677%, and Extension Services have grown by 30%.
@tzagriculture
Tanzania has made great strides in enhancing agricultural productivity, but there is room for improvement....
@tzagriculture @SAGCOT @taha_tanzania@MwananchiNews
Tanzania ni nchi ya tatu Afrika Mashariki iliyoathiriwa zaidi na udumavu hasa mikoa ya Rukwa (56%), Njombe (49%), Ruvuma (44%) na Iringa (42%). @tfnctanzania @worldfoodprogramme @wizara_ya_kilimo @wizaramifugouvuvi
@sankuphc
@uniceftz
Tanzania is the 3rd most affected by Stunting in East Africa, with high levels in Rukwa (56%), Njombe (49%), Ruvuma (44%), and Iringa (42%). @TFNC_TZ@WFP@wizara_afyatz @tzagriculture @SankuPHC
@UNICEFTanzania
Tanzania imekuwa inajitosheleza kwa chakula katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita na ikiwa na ziada ya chakula ya asilimia 24 hadi 26. @WFP @tzagriculture @AGRAAlliance @SAGCOT
Tanzania inajitahidi kupunguza utegemezi wa kuagiza vyakula toka nje, lakini nchi kwa sasa inadhalisha chini ya nusu ya mahitaji yetu ya ngano,sukari na mafuta ya kupikia. @tzagriculture @KilimoForum @SAGCOT @DalbergTweet@USDA
Tanzania is striving to reduce dependency on food imports but the country is currently producing less than half of its requirement in wheat, edible oil, and sugar. @tzagriculture @KilimoForum @SAGCOT @DalbergTweet@USDA