@JerryJamali Mbona logo ya chama ipo mkuu.
Ubinafsi wake upo wapi weka wazi faza..
Kama ni picha kila mtu kadi yake inaonekama itaenda kuwa na picha yake iyo ni mfano tu ikiwa na picha ya mwenyekiti ila haimaanishi kadi yako itakuwa na picha yake
@rollymsouth Pesa yao kukatwa ni kosa la jinai ila ya kwetu ambao ndo wametupa jina la wanyonge wanaona ikikatwa poaa tu maana hatuna cha kuwafanya.
Wapo kwa lengo la kutunyonya hao tabaka tawala na sio kwa lengo la kutuinua sisi tabaka tawaliwa (WANYONGE)
@Nipashetz Yaani mnafikiriaga tu namna ya kutunyang'anya tulivyo navyo japo ni kidogo.
Mpo bungeni mmeshiba sisi huku mitaani njaa tupu na bado mnataka tuendelee kuwachangieni tu ili mpate marupurupu ya kutosha mle na familia zenu.....
WaJINGA NYINYI