@Nalee255@ATizulwa_ Mwanamke gan katajirika kwa kuhoongwa na wanaume, TUJITUME TUFANYE KAZI Ushoga haujawai mpa mtu UTAJIRI mnaotetea iyo hoja bas nyie kahongweni muwe matajiri maana mnahamashisha ushoga bila kujua.. LIKE how mtu aliyefanikiwa kimaisha awe ni lazima awe shoga?
@stanleysamwel22 Alikua mjinga sana, wakati yeye anawaza ivo uarabuni wanachimba mafuta wanajenga miji yao yeye anasubiri watanzania wapate elimu sasa hao watanzania wenye akili wako wapi hadi sasa, Endeleza vitu watu waelimike humo humo kupitia hayo madini, sio watu wanasomea chini ya mwembe
Kama ile dhana kwamba Nyerere sehemu zenye madini alijenga viwanja vya ndege ili madini yasichimbwe bas jamaa alikua mjinga kwa kias chake.
Madini duniani hayatakaa yaishe as long as binadamu atayaihitaji kufanya maendeleo bas yatakuepo tu.
Bora angechimba ajenge hii nchi.
@SkydiverTz Iyo ni ajenda ingine lkn kutokuchimbwa sio maamuzi sahihiii, USAHIHII ni yachimbwe yatumike kwenye maenendeleo ya nchi... KAMA HAYATUMIKI KWENYE MAENDELEO YA NCHI Iyo ni ajenda ingine ambayo inatakiwa itatuliwe lkn sio kutokuchimbwa, usubiri nife ndo wengine waje kuenjoy?
Unakutana na mtu unafikiri ni mtu kumbe ni kivuli cha mtu, mwenyewe yuko kitandani amelala anaota.
Hii imenitokea nilikua naota katika kuota nikawa natembea afu kuna mahali nimenunua Samaki ila nimezinduka kabla sijamlipa ela.
Muuza samak si kashapata loss tiari.
๐๐.
@Octavianlasway Upo SAHIHII baadhi ya wanaharaka wanaonekana tu wana influence kwa sababu ya Watanzania wengi hawana uelewa wa mambo ila ukiwa na akili kidogo hawa wanaharakati ni wakupuuza wanatafuta tu engagements.
Harakati ni Muhimu ila sio kichaka cha kutafuta mtaji wa wajinga.
Dudu Baya ashawajua Wabongo wanapenda kucrizize ushoga ata kama wanaufanya ko kaamua kusepa na kijij.
Kuna washikaji pia Mtandaoni wamepata umaarufu kama huo pia.
MJINI MIPANGO TU.
Cha akabu mashoga wenyewe saivi ukiwaita mashoga ndo kama unanormalize jambo ilo kwenye jami.
@Chr74292Senator ni noma na Kadri wanavilipigia kelel ndo wananormalize hilo jambo dudu baya hakomeshi zaidi anapromote, hayo mambo hayakutakiwa kupewa hipe wangeachana tu na hao wanaofanya ayo mambo ila kwa vijana wa leo ukiwaambia Dimpoz ni shoga na maisha alo nayo wao wanatamani wawe kama yy
Mdogo mdogo Tanznia tunaelekea kwenye utawala wa Kifalme.
Sehemu nyingi Watoto wa Wabaunge ndo watakua Wabunge watoto wa mawaziri ndo watakua mawaziri na watoto wa Marais ndo watakua marais.
Kupiga Kura ni Geresha tu ya Kupata waisan(mabeberu) wa kimataifa kwa ajili ya misaada