@zoetjesheeftX Kwanza utakuwa umefanya makosa sana kuuza hiyo nyumba una watoto watatu aliokuachia mumeo hiyo nyumba huyo mumeo hainuhusu kwa nini akuambie uuze usiuze utakuja kujuta baadae pangisha kama kuhama unaweza kuenda mkishindana unarudi kwako kumbuka ndoa za kiislam ukiachwa itakuwaje
@mangekimambi Wanakutumia sababu bado wanatukata kila mwezi, mpaka nikawa najiuliza kwa nini wachukue pesa yangu na account ya @mangekimambi imefungiwa?
@MwijakuBurton@mangekimambi@mangekimambi acha kabisa kukutana na huyo mtu bado unahitajika ametumwa akumalize hyo wameahindwa waliotangulia huyo kaja kikazi acha kabisa.
Bi Chura Kiziwi: “Kuna mbwa wapumbavu wanabwekea maendeleo yetu”
Vijana wa hovyo: 👇🏾
😂😂🤣🤣 Kumbuka like yako haionekani ila kama umekubali kubweka repost na comment🔥
Tulia Ackson should be outright dismissed. Her position was obtained through rape of democracy in which she colluded with police to dubiously alter the elections process and claim most of her party’s MPs were elected unopposed. @IPUparliament delegates, youve the obligation to protect democracy by voting NO to Tulia.