Waaaao!! Kupiga kura sasa hivi ni rahisi mno, Mfano huu hapa
๐๐๐๐๐๐๐๐
Mimi..............(Jina lako)
Kutoka Tanzania
Kura kwa Atosha Kissava
Tuna msg kwenda WhatsApp namba. +254710910515
MUNGU AWABARIKI WOTE... https://t.co/9Zumfzbehi
Leo nipo Live kupitia Kipindi cha Sifa Moto ya Praise Power Radio (99.3 fm)
Kuanzie saa 8:30 mchana huu. Karibu sana Wapendwa tujumuike wote. Barikiwa ๐๐
Waaooohh! I'm so excited....
Mungu ametenda, wimbo mpya #UsisahauUlikotoka sasa upo hewani YouTube,
Kuitazama Video ya wimbo huu Bonyeza link hapo chini:
Pia Usisahau kushare na watu wengi zaidi na wao wabarikiwe.
Natamka Baraka... https://t.co/dDsqR2bRrT
ZAWADI YANGU YA PASAKA KWAKO SHABIKI WANGU!!!
Wimbo huu wa kuabudu uitwao #NAKUAMINI MUNGU" ni zawadi yangu kwako PASAKA HII..Mpaka SAA 10 JIONI tayari utakuwepo youtube
"NAKUTAKIA PASAKA NJEMA!๐๐ https://t.co/BL3xIBO4MG
ZAWADI YANGU YA PASAKA KWAKO SHABIKI WANGU!!!
Wimbo huu wa kuabudu uitwao #NAKUAMINI MUNGU" ni zawadi yangu kwako PASAKA HII..Mpaka SAA 10 JIONI tayari utakuwepo youtube
"NAKUTAKIA PASAKA NJEMA!๐๐ https://t.co/Sfq1LKiBQg