MWANAUME: Vumilia mambo yote lakini usivumikie DHARAU. Pahala popote ambapo unadharaulika na kuonekana si lolote ondoka na usigeuke nyuma. DHARAU maana yake huna unaloweza kufanya kwa sababu thamani hiyo hauko nayo. Kama utashindwa kuwa “triggered” kwenye hili basi wewe ni MFU.
Learn to rejoice and celebrate the victories of others. It will open doors of goodness in your own life in return. Be gracious enough to do that even for your enemy. Such positive actions will lift you especially during your worst days.
Cristiano Ronaldo's infamous wink at the 2006 World Cup could have ended his partnership with Wayne Rooney...
Instead they went on to become all-time greats at Man Utd 😉
(w/ @Culturecams)
Are you the person who sees the glass as half full rather than half empty? Remember, being positive is one of the main things you need for survival. Your ability to do this, no matter what life sends your way is key to being happy & appreciating where you are in life. Thank the Almighty.
Katika mifumo ya kivuli wa kiuchumi, sekta ya utalii huitwa soft power currency generator.
Hii ndiyo injini ambayo haipigi kelele, lakini inazalisha takribani 30% ya fedha zote za kigeni zinazoingia nchini.
Kwa Tanzania, hii si takwimu ya kutangaza kwenye mabango ni lifeline.
Ni mfumo ambao ukitetemeshwa, uchumi mzima hupata mtikisiko wa kiwango cha seismic class.
Sasa taarifa za on ground intel kutoka Arusha zinatoa picha inayoogopesha kuliko propaganda za majukwaani.
Tour operators wako kwenye operesheni moja tu, kupokea cancellations saa hadi saa.
Kwenye lugha ya kivuli, hii huitwa Operational Shutdown Spiral (OSS), mzunguko hatari unaosababisha corridors za utalii kupoteza uaminifu kimataifa kwa kasi inayotabirika kama upepo wa Kaskazi.
Na hapa ndipo kosa la kimkakati la Waziri wa Mambo ya Nje linapogeuka kuwa national security breach.
Kauli yake ya kubeza wafadhili si tu kosa la lugha, ila ni strategic misfire.
Katika dunia ya geopolitics, donors, NGOs, diplomatic missions, na international operators si watoa maneno, hao ndio clients, nodes, na financial arteries za sekta nzima.
Ukizidharau hadharani, unafanya kosa la intelijensia ambalo huwezi kukarabati kwa tamko la pili.
Tourism corridors za Arusha, Manyara, Serengeti, Ngorongoro, Longido, West Kilimanjaro, Tarangire, hizi ni economic pipelines.
Hapa ndiko wageni hutumia mabilioni, watoaji huduma hulipwa mishahara, biashara za hoteli, usafirishaji, guiding, handicraft, insurance, aviation, fueling, camping, catering na SMEs zinapata uhai.
Ukivuruga pipeline, unakatakata mishipa ya uchumi wa kanda nzima.
Kauli ya waziri imepokewa kimataifa kama Hostile Diplomatic Signal (HDS), ishara kwamba serikali iko tayari kubeza watu wanaofadhili miradi, kutuma watalii, na kutoa misaada ya moja kwa moja kwenye local communities.
Hii si siasa, hii ni damage to foreign confidence, na foreign confidence ndiyo msingi wa utalii.
Katika hali ya sasa, picha za miili mochwari, risasi mitaani, satellite imagery ya mashimo mapya ya Kondo, na taarifa za CNN zimeshaanza kuzunguka kwenye global travel advisories.
Ukichanganya hayo na kauli ya waziri, tunapata Full Spectrum Economic Risk (FSER), hatari inayohusisha diplomasia, biashara, na perception ya kimataifa.
Wakati kama huu, taifa halihitaji vichwa vya habari. Halihitaji maneno ya majigambo.
Linahitaji uongozi unaofahamu geopolitics ya biashara, msingi wa diplomacy economics, uhimu wa narrative discipline, na nafasi ya maneno kwenye masoko yanayochagua mahali pa kutuma watalii wao.
Katika intel ya kiuchumi tunasema, This is not the time to escape the truth, this is the time to operationalize the truth.
Kwa sababu katika sekta nyeti kama utalii, neno moja linaweza kufunga anga, na ukimya mmoja unaweza kuzuia ndege zisije kwa miaka.
Bado watawala hawajui vijana wanataka nini?....bado watawala wanaamini kwamba Maandamano ya Oktoba yalitokana na vijana kufuata mkumbo?....Bado watawala hawajui ni haki gani vijana wanadai?...Endeleeni kukaza mafuvu.
It’s easy to feel hopeless with all the uncertainty in the world now. Don’t waste time wishing things were different. Where you are right now is where the Almighty wants you to be. Trust Him. Believe in Him. Whether it’s a blessing or a lesson, thank Him.
Brother Jesse Kwayu leo kauliza "hii serikali inasikiliza?"
Clips kama hizi zipo kila mahali - vijana wanazungumza mambo mengi ya msingi, tena "kwa staha" kabisa
What they are asking for, kero zao are crystal clear - sasa sikiliza kinachotoka kwa viongozi....