@PabloYende Hivi huyu Mungu wa wachagga ndo Mungu wetu sote?
Esther luxury
Tilisho
Dar express
Machame safari
Abc
Happy nation
Mtey express
Marangu
Extra luxury
Hili kabila linatoa wapi mabilioni?
ANGALIZO
Kuna taarifa ikisambaa ikimtaja dada huyu pichani kama STELLA MASHAKA na ni sehemu ya kikosi kazi kinachohusika na utekaji wa watu.
Angalizo langu ni kwamba, ingawa tuna nia njema ya kuwabaini watu hawa, tuepuke mtego wa misinformation.
Nadadavua ifuatavyo👇
Tunaishi ktk kizazi ambacho:
-Elimu si kigezo cha kuajiriwa
-Biashara zinauliwa na ushuru
-Mishahara hailingani na gharama za maisha
Halafu WAZEE wanatukejeli kuwa VIJANA ni wazembe. Wanasahau kuwa enzi zao
Form4 waliajiriwa wizarani
Viwanja viliuzwa 5K
Ushuru haukuua biashara
SAUMU POWER. 🩺🩺
Kwanini uhangaike na [viagra] Na bado unapata madhara...???
Tumia vitunguu saumu tembe [5] Tu. Usiku kila siku menya vizuri tafuna. nivizuri zaidi ukinywa na maji vugu vugu, kwa wale ambao wanasema hawapendi harufu yake..!!!
NB: Usimeze kizima katakata vipande vipande ndipo umeze.🌱
🚨🔴 Jadon Sancho has returned to training with Man United under Erik ten Hag.
It’s first time after issues ten months ago and then loan move to Borussia Dortmund.
TUMIA REMOTE CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME.
kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata ukifanya troubleshooting kwa kuingiza code bado umeme hauwaki.
Leo ntakuonyesha namna...
Ripoti kutoka kijiweni leo tulikuwa wachache sana,
Wanetu wameitwa kwenye interview za kazi nauli tumewachangia na dua tumewaombea. Hatuna kinyongo sisi.
Tumekubaliana kama hauna mpenzi basi tafuta pesa.
Kwasababu muunganiko mbaya kabisa wa maisha ni pale unapokuwa masikini👇
NAMNA YA KUANDIKA EMAIL YA MAOMBI YA KAZI/JOB APPLICATION EMAIL
Soma hapa na mifano👇
Anza na To : weka email ya unapotuma maombi.
Sehemu ya Subject / kichwa.
English:
Subject: Job Application for [Position Title] - [Your Name]
Kiswahili:
Maombi ya Kazi kwa Nafasi ya [Jina la Nafasi] - [Jina Lako]