@MAGITE3@ErickKamihanda Watu walitaka kuhama wakakaza na kutengeneza matarajio kwamba watakuwa registered
Hivi mtu unaaminishwa na mkuu wa chuo, mkuu wa idara na ni watu wazima si unaamini kwamba ni kweli ila mwisho wa siku zilikuwa ni ahadi za uongo
@MAGITE3@ErickKamihanda Naomba nikuweke sawa! Mambo sijui ya serikali nyenyenyee....ni upuuzi mtupu!! Issue ni kwamba watu wengi walifanya makosa kucomfirm kozi hiyo baada ya kufika chuo kuomba kubadili mambo yalishindikana na wakawa wakali, ahadi ikaja kwamba someni ERB itawatambua
@MAGITE3@ErickKamihanda Kaka uhalisia wewe umemezeshwa yale maneno ya ushawishi kutoka kwa viongozi wa chuo! Ila kiuhalisia ni kozi ya janja janja tu hakuna cha maana