If she's amazing she won't be easy, if she's easy she won't be amazing, if she's worth it you won't give up, if you give up you're not worthy...truth is everybody is going to hurt you, you just gotta find the ones worth suffering for.
VIDEO:
Mwanataaluma Prof. Issa Shivji amesema taifa lipo katika kipindi cha maombolezo kutokana na kukosekana kwa uwajibikaji kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa hali hiyo inahitaji wananchi kuendelea kushikamana na kutafakari njia za kujenga haki, amani na utawala bora.
Akizungumza leo, Agosti 28, 2026, katika Jukwaa la Demokrasia Tanzania (Tanzania Democracy Forum), Prof. Shivji amesema ni muhimu mazungumzo kuhusu haki ya mpito na mustakabali wa taifa kuendelea, ili kusaidia kupata suluhisho la changamoto zinazolikabili taifa.
“Tuko kwenye maombolezo, lakini tunapaswa kuendelea kusimama pamoja na kutafuta haki na mwelekeo bora wa nchi yetu,” alisema Prof. Shivji
‼️🚨TAREHE YA KUZALIWA INA SHIDA GANI?‼️
Katika tovuti ya Bunge, Deogratius John Ndejembi ameandika kuwa amezaliwa Julai 12 1983
Shida ni kwamba tarehe yake halisi ya kuzaliwa ambayo iko katika nyaraka zake zote za zamani zinaonyesha alizaliwa Julai 12 1986. Mwaka 2018 walienda kumtolea passport mpya na walibadili mwaka wake wa kuzaliwa pamoja na jina lake la kati ambalo zamani ilikuwa Deogratius Bona Ndejembi - swali langu kwa nini? Wanaficha nini?
Kwa mtu wa kawaida hata tusingekuwa na habari - no big deal kila mtu na maisha yake lakini alipopendekezwa kuwa Makamu wa Rais (iwe haramu ama la lakini anaenda kupewa dhamana hii ya kikatiba) basi ni wajibu wetu kumchambua! Huyu kesho Samia Suluhu yakimkuta ndo atatangazwa kuwa Rais na kwa katiba hii atakuwa na nguvu kubwa hadi vyombo vya dola vitamgwaya na kutaka kumfurahisha kwa lolote! Na tulishapitia haya sasa tunasema BHAS! CCM haina uwezo wala uhalali wa kutuwekea watu wa kushika dhamana hizi kubwa!
Wagombea urais na makamu kwa miaka ya nyuma walishachujwa na TISS wote wale potential mapema na si kupendekezwa hapohapo na kutangazwa - isipokuwa 2015 CCM walipanic na kupendekeza na kutangaza kwa kukurupuka na hadi leo tunaendelea kuteseka na huu uamuzi
Huyu Ndejembi wanataka wamkimbize aapishwe baada ya Kamati Kuu kuhongwa/kutishwa kumfukuza Nchimbi na wameleta tu jina - hii hatuwezi kukalia kimya
Huyu Deo ana makandokando lakini hili la kubadili tarehe ya kuzaliwa na Jina la kati as recently as 2018 tunahitaji upewe maelezo - na ushahidi tunao mnajua based on nilichoandika!
Kutokana na Nchimbi kujiuzulu - Samia Suluhu naye ajiuzulu na serikali YOTE!
Msituletee huyu kijana ambaye anajulikana kuwa na uraia pacha hadi ana nyumba Uingereza na hana vigezo! Hapo bado kuna ufisadi wake anaozungumzia @mangekimambi
Ni wajibu wa wazalendo wote ndani ya mfumo na CCM kuhakikisha tunaokoa nchi!
Taarifa zipo nyingi mengine tutaleta zaidi ila hii ya tarehe ya kuzaliwa kudanganya tayari ni kosa kisheria hasa kwa kiongozi!
Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Rais ya Kukusanya Maoni kuhusu Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba, amesema haoni uwezekano wa Tanzania kupata Katiba mpya ifikapo mwaka 2029, akionya kuwa taifa likiingia katika uchaguzi mkuu ujao bila mabadiliko ya Katiba, Tume ya Uchaguzi na mfumo wa uchaguzi, linaweza kukumbwa na madhara makubwa.
Akizungumza leo, Agosti 28, 2026, katika Jukwaa la Demokrasia Tanzania (Tanzania Democracy Forum), Warioba amesema alipohojiwa na mwanahabari Generali kuhusu mustakabali wa Katiba mpya, alieleza kuwa haoni uwezekano wa mchakato huo kukamilika hadi mwaka 2029.
Warioba amesema iwapo Katiba mpya haitapatikana na uchaguzi mkuu ujao ukaendeshwa kwa utaratibu uliopo sasa, akiwemo mfumo wa Tume ya Uchaguzi uliopo, Tanzania inaweza kukabiliwa na madhara makubwa zaidi.
“Kuhusu Katiba nilisema sioni uwezekano wa kuipata kufikia 2029 na kama hatutapata Katiba, tukaingia kwenye uchaguzi mkuu ujao kwa utaratibu tulio nao sasa, kwa Tume hii na mfumo huu wa uchaguzi, tutapata madhara makubwa.”
Kauli hiyo ameitoa wakati taifa likiwa katika mjadala mpana kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025, huku akisema bado kuna maombolezo miongoni mwa wananchi kutokana na madhara yaliyotokea.
Warioba amesema licha ya majeraha na madhara makubwa yaliyolikumba taifa, anaona hakuna hatua kubwa inayochukuliwa na Serikali kushughulikia kikamilifu masuala hayo, hali ambayo inaweza kufanya jamii kuendelea kubeba maumivu na malalamiko yaliyopo.
“Bado tunaomboleza, wananchi wanaomboleza lakini ukiangalia kwa Serikali hakuna kubwa linalofanyika. Majeraha, madhara tuliyopata ni makubwa na ni kama tunataka kwenda hivi hivi ili yasahaulike.”
Amesema Tanzania haiwezi kujenga mustakabali salama kwa kupuuza masuala yaliyosababisha majeraha kwa wananchi, akisisitiza umuhimu wa kushughulikia changamoto hizo kabla ya taifa kuelekea katika uchaguzi mwingine mkuu.
Kauli ya Warioba imekuja katika jukwaa moja na mwanataaluma Profesa Issa Shivji, ambaye pia amesisitiza kuwa hakuna uponyaji bila uwajibikaji, akieleza kuwa taifa bado halijapona kutokana na yaliyotokea Oktoba 29, 2025.
Hii document ilitumwa na mtumishi ardhi huko Arusha ambae alikuwa anaumia kuona viongozi wa Umma wananunua viwanja binafsi kwa kodi za Watanzania…
DEO NDEJEBI HUYO HAPO KWENYE LIST SAMBAMBA NA KINA BASHITE…
And this is nothing, DEO ana viwanja majumba Masaki. Acha huko London… DEO ni fisadi wa level za Angel Kizigha!!! It’s bad!!
Na niwape tu, DEO ana uraia wa UK… British government should help us kuachia documentation za uraia wa Deo UK….
Lile Bunge la machawa lita ignore information zote hizi za red flag na watampitisha huku wanajua kabisa Deo anaienda kuichomesha Tanganyika kwa ZNZ!!!!!!
Nitawaletea ushahidi zaidi wa UFISADI WA DEO NDEJEBI…..
Kama una ndugu, rafiki mwanajeshi, please muulize kuhusu recruitment ya wanajeshi kutoka ZNZ iliyofanyika na ambayo bado inaendelea.
Hii issue ni very serious.
Jeshi la JWTZ linakuwa taken over na Zanzibar kimya kimya.
Usalama wa taifa ndio hapafai ni Wazanzibary tupu na ndio wenye nguvu ya kutoa maelekezo and everything, wabara hawana power yoyote. Mombo ndo kabisaaaaaa, mkuu wa Usalama wa taifa ni Abdul.
Watanganyika tuko busy na Chadema VS CCM huku Zanzibar wanatutake over bila kujali CCM wala Chadema…….
Mnaambiwa mpaka vijana wa barabarani wa Zanzibar wanasombwa wanapelekaa JWTZ…..
Nkunda kauza nchi!!!!!!
Na kimama anafanya hivi maana kaona JWTZ waligoma kuua October 29, so anajaza jeshi na Wanzibary ambao hawatosita kuua wabara.
🤣🤣 Leo Tundu Lissu kanifurahisha mahakamani
27 Agosti 2026
Katuga: Ulirejea Maelezo D15 ni maneno ambayo umeyaamini na yapo kwenye kielelezo chako?
Tundu Lissu: Maneno yapi? Unauliza mambo jumla jumla. Eleweka.
Katuga: Baada ya kuunda timu mimi na timu tulisikia
Tundu Lissu: Tulisikiliza sio tulisikia soma vizuri wewe
Katuga: Nina miwani siku hizi sioni vizuri.
Tundu Lissu: Ukiwa na miwani ndio unasoma vizuri? Acha uongo.
Katuga: Yangu ni ya bei halisi
Tundu Lissu: Sasa unalipwa nini? Au unajitutumua bure tu hapa?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
#FreeTunduLissuNow
#FreeTunduLissu
CDM na sisi tupite na Mbowe 😂 hakuna cha kumsitiri wala nini ukinyea kambi lazima tukuondoe. Hakuna cha kusema katoka mbali na chama yeye sio Mungu mamae.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 294
Mwenyekiti ameingia tayari baada ya kumaliza kuongea na mawakili wake na break pia kwa ajili ya Chakula cha Mchana.
Alipata nusu saa pia ya kukaa na Mawakili wake na mashahidi wake wengine. Mh. Heche, Mnyika, Amani na Brenda walikuwepo nae.
Jaji Ndunguru: Mshitakiwa uko tayari tuendelee.
Mhe. Lissu: Niko tayari.
Katuga: Mh. Jaji naomba Exhibit D15. Makarani wanaitafuta. Ni maelezo ya PW 16. Ulisema wapelelezi hawakukuuliza maana ya maneno yaliyopo kwenye hati ya mashitaka?
Mhe. Lissu: Ndio
Katuga: PW 1 alisema alikuhoji kuhusu maana ya maneno yako?
Mhe. Lissu: Hakunihoji hilo.
Katuga: PW 1 alisema alikupa nafasi kuhusiana na haya maneno kwanini yasiwe ya uhaini?
Mhe. Lissu: Nilimjibu mmeshanikamata na mmeshanishitaki tutakutana mahakamani ndio nilimjibu.
Katuga: PW 1 alikupa nafasi au hakukupa nafasi?
Mhe. Lissu: Alishanishtaki kwa uhaini.
Katuga: Ulizuiwa nini ulipoambiwa utoe maelezo yako?
Mhe. Lissu: Tutakutana mahakamani
Katuga: Ndio maana hukutaka kutoa maana ya maneno?
Mhe. Lissu: Sikuulizwa kuhusu maneno alisema kuhusu uhaini, nikamwambia twende mahakamani.
Katuga: Ungeweza kutoa maana ya maneno au usingeweza pale angekuuliza?
Mhe. Lissu: Sasa halikuulizwa hilo nitoleee nini? Ningejibu angeniambia.
Katuga: Ulirejea Maelezo D15 ni maneno ambayo umeyaamini na yapo kwenye kielelezo chako?
Mhe. Lissu: Maneno yapi? Unauliza mambo jumla jumla. Eleweka.
Katuga: Baada ya kuunda timu mimi na timu tulisikia
Mhe. Lissu: Tulisikiliza sio tulisikia soma vizuri wewe
Katuga: Nina miwani siku hizi sioni vizuri.
Mhe. Lissu: Ukiwa na miwani ndio unasoma vizuri acha uongo.
Katuga: Yangu ni ya bei halisi
Lissu: Sasa unalipwa nini? Au unajitutumua bure tu hapa?
Katuga: Je haya maneno nimesoma ulirejea?
Mhe. Lissu: In relation na ushahidi wa PW1 ndio niliyarejea. Kuhusianisha na PW 16 alichosema.
Katuga: Kwahiyo ulikiamini kielelezo?
Mhe. Lissu: Nilikiamini kivipi? Nilikitumia kuonesha utofauti wa mashahidi wawili wa Jamhuri.
Katuga: Kwahiyo ulikiamini?
Mhe. Lissu: Mimi niwaamini Mapolisi hawa? Nilikitumia kuonesha utofauti wa mashahidi wawili wa Jamhuri.
Katuga: Sasa nijibu unayaamini yaliyomo humo?
Mhe. Lissu: Niamini nini?
Katuga: Uko sawa kweli?
Mhe. Lissu: Wee unanionaje?
Katuga: Naona uko sawa.
Mhe. Lissu: Sasa unaniuliza nini kama unasema niko sawa?
Jaji: Sasa wakili toka hapo. Tumeshapata majibu.
Katuga: Ulisema haya maelezo yote kuanzia D1 hadi D16 ulitaka yatumike kwa ajili yako?
Mhe. Lissu: Nilishajibu toka zamani. Kwa ajili ya kuonesha utofauti wa ushahidi. Contradiction ya ushahidi na ommission zilizofanyika.
Katuga: Kuna sehemu ulisema mahakama i exclude baadhi ya maneno yaliyopo humu?
Mhe. Lissu: Hiyo ni kazi ya submission.
Katuga: Narudia tena ulisema au hukusema?
Mhe. Lissu: Nimekwambia hiyo ni kazi ya submission.
Jaji Ndunguru: jibu tu swali shahidi umeiambia mahakama au hujaiambia.
Mhe. Lissu: Narudia tena nitawaambia wakati wa final submission nimemaliza.
Jaji Ndunguru: Haya sasa wakili wa serikali endelea mbele. Jibu ndio limeshatoka hilo na halitabadilika.
Kicheko kutoka kwa umma 😂😂😂
Katuga: Mheshimiwa Jaji naomba nirudishe kielelezo.
Anaendelea kupekua makaratasi yake. Kamaliza maswali ila anatupotezea muda tu hana lolote mshenzi huyu.
Part 295 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.
Mhe. Tundu Lissu kasema ni kweli kabisa kuwa ana chuki binafsi dhidi ya Serikali haswa ikiwa onevu na isiyotenda haki na chuki yake haitokwisha
Mpaka pale tu atapopata kuona Serikali ambayo haina uonevu dhdi na yenye utendaji mzuri wa haki kutokana na KATIBA.
Moja ya mambo nimejifunza in a hard way, ni nadra watu kuhahirisha mambo yao kukusaidia.
You will be there starving, wakati Kaka yako anamalizia ujenzi wa apartment na anasema hana hela, na hakuna kitu utamfanya, ni hela yake.
Just survive to treat people the same 😆😆
Mbowe ni MTU KATILI SANA aisee ivi aliendaga hata kumtembelea Lissu gerezani.
Jamaa ni Nyambuleti sana, unajenga heshima kwa miaka 100 unaipoteza ndani ya siku moja tu.
Generational wealth kwa Afrika haivuki kizazi cha pili kwa sababu ya mbanga kama hizi. UBINAFSII
Nassoro Katuga: shahidi, umesoma historia?
Tundu Lissu; Ndiyo
Nassoro Katuga; Ni kweli wakoloni waliwatumia viongozi wenye tamaa ya uongozi?
Tundu Lissu: Viongozi gani?
Nassoro Katuga; Je, wazungu waliingia Afrika kwa kutumia viongozi wenye tamaa.
Tundu Lissu; waliwatumia viongozi kupitia mikataba
Nassoro Katuga; kwa hiyo waarabu waliingia kama wakoloni kwa kutumia viongozi wenye tamaa?
Tundu Lissu; Waarabu hawakuwa wakoloni walikuja kama wafanyabiashara
Nassoro Katuga; kwa hiyo unakubali kwamba waliingia mikataba?
Lissu: Ndiyo. Walikuwa machifu. Waliingia mikataba kama wanavyoingia mikataba akina Samia leo. Hawakuingia mikataba na watu wa chini huku
Zile lugha za Lissu ambazo jamhuri hawapendi kuzisikia sasaivi zinatolewa kwenye chemba za mahakama mbele ya majaji, wakili wa serikali na vyombo vya usalama.
Nassoro Katuga: shahidi, ulisema kuhusu wewe kuwa mtetezi wa madini
Tundu Lissu; ndiyo
Nassoro Katuga: bado ukawa unatetea makinikia yatoke?
Tundu Lissu; huko sikusema lakini ukitaka nitakueleza taarifa aliyopewa Magufuli ilikuwa Prefesorial rubish
Nassoro Katuga; Twende taratibu shahidi, huko nitashinda sana.
Tundu Lissu; Twende tu. Unataka masuala ya madini? Hapa ndiyo penyewe.
Nassoro Katuga; unasema wewe ni mtetezi wa madini na unapigania madini yatoke?
Tundu Lissu; sikupigania madini yatoke, nilisema tutashtakiwa mahakama za kimataifa
Nassoro Katuga; mbona hatukushtakiwa?
Tundu Lissu; nani alikueleza hatukushtakiwa? Unataka nikutajie kesi tulizoshtakiwa International Court of Arbitration? Huko tusiendee. Ni kubayaa.
Nassoro Katuga; nitarudi baadae
Leo nchi ITAFURAHI kutokana na kitakachotokea MAHAKAMANI. Hata kama FURAHA itakuja kwa KUCHELEWA, ni MUHIMU SANA kutambua kwamba; FURAHA hiyo ITAIPONYA nchi kwa wakati huu.