@ze_mandevu Kuna kitu najiuliza sana, hivi ni kwanini CCM hawataki kusikia masuala ya reforming? wanampango gani na hili taifa? kama wanania njema kinachowashinda kukubali ninini? kama kuteka na kuua ndo wameona solution its okey lakini spirit of reforming will always survive byeee!
@EsirEid wapiga kura mmemsikia mbunge wenu?, akija kuomba kura mwambieni aende akasomee umeme veta au ufundi cherehani au ujenzi maana ata yeye anasifa
@mkaguzi_mkuu Katika zote hii ndo huwa inaniwazisha sana ile kauli ya itakuchukua muda kuelewa ila iposiku utaelewa nikama mwamba kuna kitu alikuwa kakisanukia kuhusu his death!!