Kadri unavyokuwa makini na makusudi katika kukuza uongozi wako, ndivyo uwezo wako wa kuwa kiongozi unayoweza kuwa unavyoongezeka. Usiache kamwe kujifunza!
Hakuna anayeelewa bidhaa kama yule aliyeitengeneza. Kwa hiyo usiruhusu watu wakutie alama, wakupunguzie thamani, au waamue wewe ni nani.Amini Yule aliyekuumba na kukuita kwa jina lako. Acha sauti Yake ipae juu ya zote. Wewe si wa bahati nasibu. Uliumbwa kwa kusudi.