Changes can take years before it happens all at once.
Usikate tamaa, ni ngumu kujengea tabia ambayo inakujenga wewe lakini ni rahisi zaidi kubomoa tabia iliyokujenga wewe.
Developers wote duniani unao waona hawakuweza kuwa vile walivyo over 1 night, iliwagharimu kufika pale.
Take this ROAD MAP itakusadia na kukupa uwezo wa kujua programming.
Jifunze nadharia kabla ya practical, jipe muda kujua maelekezo ya kila kitu.
Elewa dunia ya tehama inafanyaje kazi ikiwemo internet, network, na computing device.
Jifunze kuelewa lugha za computer kiundani.
Junior devs and Self-taught Developer!
Kabla hujataka kuwa developer, lazima ujue kuwa dunia iko na ushindani wa hali ya juu.
Lazima ujue kuwa hakuna kipya kwenye uwanda wa software development, lakini bado chance ya kutoboa ipo! Kivip?
Be a REAL WORLD PROBLEM SOLVER.
ASANTE!
Ni J4 nyingine tena ya kukumbushana kuwa pasipo NIA, JITIHADA, UVUMILIVU, NIDHAMU na MUENDELEZO mzuri juu ulifanyalo kutoboa itakuwa ngumu kwako.
Jifunze kwa bidii mkali wade, usikate tamaa unapo pata changamoto, jifunze kushare na wakali wade wengine wakupe uzoefu juu ya hilo.
Wanangu TECH SKILLS zinalipa, mnazichukulia poa kujifunza kwa sasa ila hizo ndizo zinawapa watu maisha.
Kwanini uogope kujifunza, ukicheki matajairi wakubwa duniani katika ile list ya Forbes pale wengi wanaongoza ni waanzilishi wa kampuni za teknolojia.
Wekeza usiogope mkuu
Soln zote na unazi apply ila ngoma bado mbichi, hapo ndio utajua kuwa kuacha ndala hakuhitaji ukimbizwe.
Ila CONSISTENCY huwa ndio kila kitu, hapo itakufunza kuto kukata tamaa, kuto kuacha kuumiza kichwa, utajifunza mengi sana kupitia consistency.
Linapokuja swala la CONSISTENCY wengi huwa wanashindwa kutoboa!
CONSISTENCY inahitaji DISCIPLINE ya hali ya juu, yaani sio kwa kubahatisha mkali wade.
Mfano, unagonga zako code, mara inatokea error kila ukisolve ngoma ngumu, unalala unaamka ngoma bado ngumu, hapo AI anakupa
Kwenye kujifunza kunahitaji mambo 3 nayo ni
LENGO, UVUMILIVU, MUENDELEZO.
LENGO - Jua kwanini unajifunza na kwa dhumuni gani.
UVUMILIVU - Matokeo hayaji haraka hivyo ni muhimu kuto kata tamaa.
MUENDELEZO - Kuna wakati utajihisi kuchoka ila kamwe usiache siku ipite.NEVER QUITY
What make you GREAT ON YOUR LEARNING, ni uwezo wa kufanya kila siku (practice).
Mathematics sio ngumu, ila ugumu huletwa na kutokufanya kila siku, kuto kujipa mazoezi.
Unapotaka kuwa developer bora, hakikisha kujifunza kila siku bila kuacha iwe sehemu ya maisha yako.
Sasa wewe unajifunza CODING au UNAJIFUNZA KUWA DEVELOPER?
Kuna tofauti kati ya kuwa DEVELOPER na kujifunza CODING, kujua CODE haikufanyi kuwa rated developer, hiyo ni sehemu ndogo mno ambayo hata mtoto wa darasa la 4 akifundishwa anajua.
Real developer ni PROBLEM SOLVER! ๐บ๐ป
Sifa moja wapo ya DEVELOPER yeyote duniani ambayo lazima awe nayo!
Uwezo wa kufanya DEBUGGING!
BISHA KWA HOJA!
Hapa Junior Dev lazima wapagawe kidogo ๐๐, wakiona tu hawaelewi utaona prompt inasema.
"Please finde the error on this code" ๐๐๐๐
Mwamangu kaza kuzijua FOUNDATION zile huwa zina maana kubwa!
Unaidharau HTML,CSS NA JS sababu ya ujio wa AI, nataka nikwambie kuwa AI itaweza tekeleza kile umesema ila kama huna BASIC ya kile unachokitaka hapo lazima uache ndala.
Uzuri kwenye tahasisi they need real developers.
SOMA HIKI KISA HAPA!
Mtu unafanya kazi kuanzia j3 mpka ijumaa, unakuwa na siku 2 za mapumziko, na muda wa kurudi home ni saa 10 jioni hivyo bado una muda wa kupumzika.
Kawanini katika siku hizo 2 usitumie kujifunza NEW SKILL, ili siku isiishe umelala tu.
Unalala una raha gani?
Goodmorning Familia !
Moja ya vitu muhimu kama developer hupaswi kukosa, ni uwezo wa KUUZA PRODUCT YAKO.
Ukiwa unaanza huwezi ajiri sellers sababu huna uwezo, lakini PRODUCT inatakiwa ifike sokoni, hapa lazima uwe na uwezo wa KUMARKET na SELLING.
Kwa Africa kutoboa si mchezo.
Wewe ni Junior Developer? Mpaka sasa hamna seriously project yeyote uliyofanya?
Bado una safari ndefu sana katika kujifunza, kwanini?
As Junior Developer lazima ujue kitakachokujenga na kuwa bora na kufika leveles, ni kuwa na uwezo wa kumaliza ulichokianza. Sio rahisi kumaliza.
@Davioh76 Vigezo ni wewe kuwa na utayari wa kujifunza na sio kujaribu.
Kuhusu gharama zinatokana na utayari wako mkuu, naweza kupa gharama lakini ikawa si lengo.
Kwanza andaa mpango, unataka kujifunza nini? Unatak ufocus kwenye upande gani? BackEnd, FrontEnd au FULL-STACK.
Karibu DM
Yoh unatamani kuwa web developer? Au na wewe ni SELF-TAUGHT DEVELOPER ambaye unahitaji MENTORSHIP?
Karibu sana, kwangu utaweza kupata
Effective road map.
Effective learning skill.
Effective challenge overcome.
Finishing what you start.
Lakini tutajifunza wote kwa pamoja.