Wacha wauguwe viungulia kwa kumchukia diamond Mana wanajuwa alipotutowa kwenye music mpaka hapa tulipo kiukweli watanzania wengi walikuwa hawaupendi music ila uyu bwana mdogo kaja kuupa thaman music wakitanzania mpaka ukapendwa kwenye nchi za watu huko