@Big_Nicky01 Jifunze kusave, ukipata 10k kula 5k, nyingine tunza. Weka mali zinazoonhezeka thamani, jiwekee hata kila mwaka au miez 6 uwe na kiwanja hata cha laki 8 popote pale hii dunia. In 5 years unaweza kua tajiri bila kujua, anza bussiness kwa mitaji midogo uone kitakachotiki
Meneja wa timu ya Taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti ametetea uamuzi wake wa kutomjumuisha mshambuliaji wa Chelsea, Joรฃo Pedro kwenye kikosi cha wachezaji 26 cha timu hiyo kuelekea michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 itakayoanza mwezi ujao huku akimuomba radhi nyota huyo.
Baada ya kutangaza kikosi hicho, Ancelotti alishindwa kutoa sababu halali ya kumwacha Joao Pedro nje, na kuacha maswali mengi kuliko majibu huku wengi wakihoji uhalali kuwaita baadhi ya nyota kama Gabriel Martinelli wa Arsenal, Luiz Henrique (Zenit), Rayan (Bournemouth) au Endrick (Lyon) badala ya Joรฃo Pedro ambao kimsingi hawakuwa na msimu mzuri kumzidi Pedro.
Wengi wamelinganisha takwimu za baadhi ya wachezaji walioitwa na zile za Pedro hususani Martinelli aliyefunga bao moja tu na asisti 3 kwenye Ligi kuu England tofauti na Joรฃo Pedro aliyefunga magoli 15 na asisti 5 kwenye Ligi hiyo bila kumsahau Rayan aliyeifungia Bournemouth magoli 5 na asisti 2 wakati Endrick akiifungia Lyon mabao 5 na asisti 7 kwenye Ligue 1 wakati
Uamuzi wa kurejea wa mfungaji wa muda wote wa Brazil, Neymar Jr hauonekani kuwashangaza wengi licha ya umri na majeraha ya mara kwa mara kuwa kikwazo lakini wengi wanaamini uwepo wake kikosini ni 'bonus' kwa Brazil kwa ajili ya kuongeza uzoefu, ushawishi na uongozi kikosini hata kama hatacheza dakika zote.
"Kuna sifa za wachezaji binafsi tulizozingatia katika uchaguzi wa wachezaji walioitwa. Ni wazi kwamba tunasikitika kutoitwa kwa Joรฃo Pedro, kwa sababu kwa msimu aliokuwa nao barani Ulaya, labda alistahili kuwa kwenye orodha hii. Tunamuomba radhi Joรฃo Pedro, na pia kwa kila mtu mwingine.โ alisema Ancelotti baada ya kutomjumuisha Joรฃo Pedro.
#KitengeSports
๐จ๐๐๐๐๐๐๐๐: Klabu ya Simba SC ๐น๐ฟ imeanza mazungumzo rasmi na Kiungo Neo Maema (30) ๐ฟ๐ฆ ili aongeze mkataba mpya zaidi kwaajili ya msimu ujao wa 2026-27
Maema tayari ana machaguo yake Afrika Kusini lakini kwanza atasikiliza muktadha kutoka kwa kocha Steve Barker ๐ฟ๐ฆ
๐จ JUST IN:Royal Charleroi SC is likely to win the race of Isaac Ismael Cisse(19) signature
It's only club to reach player's club Golden Arrows demand after sent an official offer which is around 1m USD
Belgian club also has an agreement with player's agent
๐จ๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐: Timu ambazo Tanzania imepangwa nazo kwenye kundi L kuelekea michuano ya AFCON 2027 Qualifiers! โญ๏ธ๐น๐ฟ
1: Nigeria ๐ณ๐ฌ
2: Tanzania ๐น๐ฟ
3: Madagascar ๐ฒ๐ฌ
4: Guinea Bissau ๐ฌ๐ผ
#afcon2027
Ratiba ya Rio Ferdinand ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ baada ya kuwasili Tanzania ๐น๐ฟ leo Mei 19, 2026
โ Mei 20: Bungeni, Dodoma
โ Mei 21: Uwanja wa AFCON, Arusha
โ Mei 21: Serengeti National Park
๐ฅ Yusuphu Kagoma chini ya Steve Barker muumini wa kuwa na destroyer mmoja kwenye system yake atacheza sana
Ndio maana tangu dirisha dogo alipendekeza asajiliwe DM mwingine atakayesaidiana na Kagoma
Maeneo mengi kikosini yana tiba mbadala ila Kagoma ni mpaka aseme amechoka
Viwanja vya nusu fainali za Kombe la Shirikisho la CRDB
Simba Sc ๐ Coastal Union
๐๏ธ Juni 20, 2026
๐๏ธ Sheikh Amri Abeid - Arusha
Azam Fc ๐ Yanga Sc
๐๏ธ Juni 21, 2026
๐๏ธ CCM Kirumba - Mwanza
Spring layering with UNIQLO essentials ๏ฟฝSpring layering with UNIQLO essentials ๏ฟฝSpring layering with UNIQLO essentials ๏ฟฝSpring layering with UNIQLO essentials ๐ฅ
Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nchini Uganda vimekamata Mali za aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda Anita Among yakiwemo magari yake ya kifahari aina ya Rolls-Royce Cullinan pamoja na Range Rover katika operesheni kubwa ya kupambana na Ufisadi na utajiri unaotiliwa shaka inayoendelea nchini humo.
Operesheni hiyo imefanyika hii leo Mei 18, 2026 katika makazi yake ya Kigo, Wilaya ya Wakiso ambapo maafisa kutoka Idara ya Upelelezi wa Jinai nchini Uganda (CID), Vikosi vya Kijeshi vya UPDF pamoja na vitengo vya ujasusi walizingira eneo hilo kwa ulinzi mkali ambapo wameyachukua magari hayo na kwenda nayo makao ya uchunguzi wa Polisi Naguru kwa uchunguzi zaidi.
Aidha kwa mujibu wa ripoti za Vyombo vya Habari vya Uganda, uchunguzi huo umeongezwa hadi kwenye mali nyingine zinazohusishwa na Among katika maeneo ya Ntinda, Nakasero na Bukedea, ambapo Maafisa wa upelelezi wanatafuta nyaraka za kifedha, kumbukumbu za mali na ushahidi mwingine unaohusishwa na madai ya utakatishaji fedha, matumizi mabaya ya ofisi na utajiri usioelezeka.
Gari la kifahari la Rolls Royce limezua mjadala mkubwa Nchini humo baada ya kuripotiwa kuingizwa Uganda, Januari 2026 kupitia kampuni ya Anita Foundation Limited, ripoti zimedai kuwa zaidi ya Shilingi bilioni 1 zililipwa kwa fedha taslimu kwa ajili ya ushuru na gharama za usafirishaji, jambo lililoibua maswali kuhusu chanzo cha fedha hizo.
Among, ambaye hapo awali amedai kuwa gari hilo lilikuwa zawadi ya siku yake ya kuzaliwa kutoka kwa marafiki na biashara zake, amekuwa chini ya shinikizo kubwa la kisiasa na uchunguzi wa ndani na nje ya Uganda, Marekani na Uingereza tayari zilimuwekea vikwazo mwaka 2024 kufuatia madai ya ufisadi yanayohusiana na sakata la mabati ya Karamoja.
Hatahivyo, taarifa zinaeleza kuwa simu ya Among pamoja na baadhi ya vifaa vingine vya kielektroniki vimechukuliwa kwa uchunguzi wa kidigitali huku Maafisa wawili wa karibu naye wakizuiliwa kwa mahojiano.
Credit Picha: #DailyMonitor
#MillardAyoUPDATES
๐ฅWakati anasaini makaratasi Simba SC alikutana na malengo CAFCL QF,kushinda mataji ya ndani
Unlucky akafeli CAFCL ila performance ya timu ikawafanya Viongozi wa timu kufuta wazo la kumuondoa
The best decision ever kwani baada ya miezi kadhaa ameset foundation nzuri sana
๐จ JUST IN:Kwa nyakati tofauti Viongozi wa Young Africans SC wamefanya mazungumzo na mlinzi wa kati Nasry Kombo anayeitumikia TRA UNITED kwa sasa
Yanga SC wanalenga kumuongeza kikosini mchezaji dirisha kubwa la usajili ili kuimarisha eneo lao la ulinzi
The business to followโ๐ฝ