NAKUOMBA USIENDE.
Sitaki niseme sana, maneno uyazoee
Kesho nije kuyakana, dunia inizomee
Sitaki mwingine tena, zaidi yako pekee
Utulie nikupende, ya dunia yana mwisho
Tulia nikupe pendo, nikutunze kama kinda
Nikufanyie matendo, mazuri unayopenda
Uendapo niwe kando, naahidi k
*🌿 Ndoa ya kweli siyo tu kuishi pamoja, bali ni kushirikiana utulivu wa moyo na amani ya nafsi.*
Miongoni mwa mambo mazuri zaidi katika maisha ya ndoa ni pale kila mmoja anapompata mwenzake kama sehemu salama ya kupumzisha moyo wake. Mahali ambapo anaweza kueleza hisia zake,
HII NDIO NDOA GANI??
Hayo ni mapenzi gani, yakulize kila siku
Waishi kama vitani, mapenzi ya kujishuku
pendo la kihayawani, matendo kama ya kuku
Kwake hauna thamani, kwanini ung'ang'anie?.
Anakupa kitu gani, mateso uvumilie
Huna furaha moyoni, kutwa ujiin
NIMESHACHOKA SIWEZI..
Natangaza waziwazi, Maamuzi kuchukua
Waniite mpuuzi, waseme ninaugua
Haya ndio maamuzi, ambayo nimeamua
Nimeshachoka siwezi, kuishi na wewe tena.
Mengi ulinitendea, siwezi kuyatangaza
Sitaki kuyaongea, mie nimeyapuuza
Na dua nakuombea, Mungu ataku
Naahidi sitaacha kamwe kukupenda , haijalishi nini kitakachotokea . Daima utakuwa na nafasi ya pekee moyoni mwangu nafasi ambayo hakuna mtu mwingine atakayewahi kuweza kuichukua 💯.
*NAKUPENDA 💖😘.*
NITAMPATA WAPI.
Ni wapi nitampata, mwenye mapenzi ya kweli
Yu wapi nitamfwata, hata ni mbali maili
Kimweri ninatafuta, ninaomba na kusali
Ni wapi nitampata, mwenye mapenzi ya dhati.
Nipate wa kunipenda, wa kunifuta machozi
Aendapo nitaenda, niwe naye kama jozi
Nipate wa kun
Mwanamke sikuzote hana huruma na sehemu ambayo anahisi fursa ipo kwa mwanaume.
Mwanamke ana'demand mahusiano ya kudumu au kuolewa kabisa kuliko ilivyo kwa mwanaume.
Ingewezekana wangependa hata kuchunguzwa kabla ya kuolewa.
Ndiomaana utakuta mwanamke anawezakuwa na mauhusiano na wewe na anakupenda lakini akijitokeza mtu mwenye uwezo kuliko wewe anamchukua na anakubali kuolewa nae hatakama hampendi ila utayari wa kwamba mwanaume anauwezo na anautayari kumuoa.
Sababu ni hii kwamba, wanawake wameumbwa simply ili kuongozwa pamoja na kuwa tegemezi.
[Akiwa mwanamke na anataka kujitegemea ndio hao wanakuwa single mothers, wasimbe na feminist]
NATURE NDO IMEAMUA HIVYO.
So kiuhalisia usipokuwa makini kwenye kuoa, lazima uoe mke wa mtu.
Narrative ya
"Tafuta pesa wanawake watajileta" ni ya kiwaki sana.
Ukipata pesa watakuja wanawake watumiaji wanaokuja kula pesa zako (GOLD DIGGERS)
So kama unaweza angalia mwanamke unaeinuka nae na anawezakueleza historia ya mafanikio yako acha kutongoza na kuoa ndani ya miezi mitatu ni utapeli. (RULE OF THUMB)
LETS END HERE MORE TO COME.
Ayubu 42:2–3
"Najua ya kuwa waweza kufanya mambo yote, na ya kuwa makusudi yako hayawezi kuzuiliwa."
"Ni nani huyu afichaye shauri kwa maneno yasiyo na maarifa? Basi nimenena nisiyoyafahamu, mambo ya ajabu mno kwangu nisiyoyajua."
DHIKI YA UMASIKINI.
Mwanangu nakuusia, zingatia jambo hili
Umasikini udhia, tena unaudhalili
Kila jambo la dunia, lataka uwe na mali
Kimbia umasikini, maneno nayarudia.
Ukiwa na hali duni, watakukimbia watu
Na atakutaka nani, ukiwa hauna kitu
Utukanwe hadharani, uonekane ni
Na wala sijilaumu, kujutia kukupenda
Pengine sikufahamu, namna ya kukulinda
Au umepeta tamu, zaidi yangu huenda
Limekuwa somo kwangu,
Nashindwa kutulizana, siwezi hata kulala
Nitakukumbuka sana, kwa kunifanya jalala,
Uzitunze siri zangu, zako nitakufichia.