@Bookten8 Chaji unalia kuhusu mat za Thika umesahau mbathi za western dere udrive kama ameinama safari mzima sababu ya miwa enye imepangwa ju ya kichwa yake😂
Kuna beste aliwahi patikana na hawa maghasia akiwa msoto, wakataka kumpea strokes kama funzo lakini jamaa akakaza tako. Aliskia "masta ebu leta kisu tako inakataa kufunguka" ilibidi aseme ..." ebu jaribu tena mzee" huku machozi yanamlengalenga.