@ExMayorUbungo Unapo ambiwa ukakaidi utapigwa..namimi nasema wapigeni tu..Kwa sababu hata kama upinzani watakapo shika Dolla hawatakubali serikari Yao kuchezewa na wapinzani wao..jeshi la police litakuwepo maisha yote ya serika haijalishi nani anatawara kikubwa ni ueledi wa nani msimamizi
@bbcswahili Uganda sio marekani ..mbona hakuna nchi za African zinazoingilia Sheria za marekani.. Russia waje Africa tunawahitaji na kuwaunga mkono...wao Russian
@CloudsMediaLive Ugumu wa maisha hasa kwa vijana wengi ukizingatia hawana kigezo Cha uzoefu na zamana za kuwapatatia ajira ktk kuomba ajira na mikopo..hawajui kesho yao anayo Nani..