Head of Human resource department @Tanzania Government
MA PUBLIC ADMINISTRATION @Mzumbe
B.A PS&PA @UDSM
Former Regional Assistant Secretary @Chama Cha Mapinduzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Prisca Burton Lwangili kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Tunguu Zanzibar, tarehe 27 Julai, 2026.
Ninaipongeza Klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mara ya tano mfululizo. Mafanikio haya ni ushahidi wa juhudi, nidhamu na kujituma kwa wachezaji, benchi la ufundi, uongozi pamoja na mashabiki.
Aidha, ninazipongeza klabu zote zilizoshiriki Ligi Kuu msimu huu kwa ushindani mzuri uliofanya mchezo wa mpira wa miguu nchini Tanzania kuendelea kukua, kuvutia na kuongeza hamasa kwa mashabiki pamoja na wadau wa mchezo huu.
Kheri ya Sikukuy ya Wafanyakazi Duniani. Kwa niaba ya Ofisi yetu tunawatakia Watumishi wote wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Sikukuu njema. Wito wetu Tuendelee kuchapa Kazi na Kuijenga Tanzania yetu. #TanzaniaInawategemea.