@Kariakoo_ Wanakuambia kwamba ukijiona unashuka sana kwenye hesabu JITATHMINI..
Nilishawahi jaza booklet mbili mamae tokeo limetoka niko na 32% ..
Naakat kuna jamaangu booklet moja tu ana more tham 75% ..
Ila ile paper hapana ..
Ukiangalia nyuma kuna 20% 10% mpaka 0% kibao😂😂😂
@LifeofSteph_1 Mimi sijui ila kwa ma braza zangu naelewaga hali zao..
So akinijibu mbofu naenda ukouko alipo namwelekeza namchana ukweli alafu tunaachana kama hakujatokea kitu..
@spana_Konki Mimi mzee asipokuwepo home tulikua tunajiamini sana..
Hata ukikosea bimkubwa tu akisema ngoja baba ako aje nimwambie, oya nanywea vibaya mno..
Ilikua niko radhi nipewe ata heka ya kulima nitamaliza ila sio mzee ajue nilichokosea😅