@mankadolly@SadickTusia@chandolaptops Ndio bongo kaka na kitengo chao (CID) kipo ila tatizo halijatokea kwa mtu wao ila ingekua mtu wao mbona rahisi sana
Kila mtu anatamani ajue anawezaje kutengeneza websites na software nyinginezo.
Uwepo wa AI huenda umefanya hili jambo liwe rahisi sana, ila bado wengi wanafanya makosa na hawajui pa kuanzia.
AI ilichorahisisha ni kukupa timu nzima ya software dev sehemu moja na weqe kubaki kuwa PROJECT MANAGER.
Unapokuwa Project manager mara nyingi hata hautahitaji kujua wala kuelewa sana code ya program mstari kwa mstari inafanya nini.
Hiyo ni kazi ya programmers, kazi yako wewe ni kuwa software engineer anayeelewa hiyo software product inabidi
ifanye nini?
Kwa namna gani?
Iwe na usalama wa namna gani?
Watumiaji wataitumia vipi?
Itakuwa deployed to production kwa namna ipi na wapi?
Hivyo ni baadhi ya vity unavyohitaji kujua.
Natamani sana watu wajifunze, waelewe na walau waweze kuwa project managers au software engineers ambao wanaweza kutengeneza softwares bila kujua programming.
Niliwahi kuwapa elimu ya kujifunza programming bila kwenda chuo.
Leo nawapa darasa ya VIBE CODING. Yani kutengeneza software bila kuwa na ufahamu wa programming languages.
Mtu anaweza kuona hauwezekani, ila inawezekana. Mfano mimi mwenyewe siijui flutter ya kutengeneza Mobile Applications, ila nimetengeneza App ya AkibaPlus na ndani ya wiki mbili na siku tatu imepata watumiaji 104 na inafanya kazi kwa ubora wa hali ya juu.
Yote sababu najua product inabidi iwe vipi na natumia AI kama team yangu ya programmers.
Muhimu ni kuweza fikiria kama software engineer na product manager.
Hiyo ndiyo sababu nimeleta hii masterclass ambayo itafundisha kila kitu na hata mtu ambaye hakuwa anajua kabisa chochote kuhusu software development atatoka akiwa anajua na anaelewa wapi anaanzia na ataweza tengeneza software.
Nina nafasi za watu 12 na kati hao ikiwa mtu atatoka bado hawezi kutengeneza software nitamrudishia pesa yake.
Masterclasss: VIBE CODING MASTERCALSS
Tarehe: 1 mpaka 7 July 2026
Mahali: Online
Gharama: TZS 150,000 kwa kila mtu
baada ya malipo utapewa access
Zimebaki nafasi 10 mpaka sasa.
Unahitaji kuwa na vitu viwili tu.
COMPUTER & INTERNET
@ally_eh@gabyconscious
🐧 Top Free Linux Resources to Level Up in 2026
1. 🧠 Linux Foundation Training
Professional-grade introductory courses
https://t.co/2kBy62SKyo
2. 📘 Linux Journey
Beginner-friendly, structured learning path
https://t.co/9S200NDmlW
3. 🟠 Ubuntu Tutorials
Step-by-step guides for Ubuntu users
https://t.co/MPUlHJdc1n
4. 🔴 Red Hat Training
Enterprise-level learning resources
https://t.co/evunZfRrXF
5. 📚 GNU Documentation
Official reference for core Linux tools
https://t.co/m6r0zi8Dda
6. 🎮 OverTheWire Bandit
Gamified CLI learning (wargames)
https://t.co/BSWdKSigWW
7. 📖 The Linux Command Line (Book)
Deep dive into terminal usage
https://t.co/gNRTMVXlOr
8. 🎓 MIT Missing Semester
Essential CLI + dev tools not taught in college
https://t.co/omdTKCKVCm
9. 🌊 DigitalOcean Tutorials
Hands-on server + Linux guides
https://t.co/5zXDi4Dsxc
10. ⚙️ Linux From Scratch
Build your own Linux system
https://t.co/12BmpcOnCj
11. 🧾 Arch Linux Wiki
One of the best technical documentation sources
https://t.co/4z3KWh29V9
12. 💻 freeCodeCamp Linux
Project-based Linux tutorials
https://t.co/9bLAToj0Ai
13. 🧪 Linux Survival
Interactive terminal practice (browser-based)
https://t.co/tPuqhsv1dL
⚠️ Reality:
Reading ≠ Skill
Practice on terminal = Skill
#Linux #CyberSecurity #DevOps #CLI #InfoSec
AISEEEEEE, SOMENI HII VIJANA 🇹🇿🙌🏾
Perplexity wameleta feature mpya inayoitwa “Computer” na hii inaweza kuwa moja ya maboresho makubwa ya AI mwaka huu.
Hii sio tena search ya kawaida.
👉🏽Ni AI inayoweza kutumia kompyuta kwa niaba yako.
Hizi hapa ni njia 15 za kushangaza za kutumia Perplexity Computer 👇
1/
Unaweza kuiambia ifanye utafiti wa hisa yoyote 📈
👉🏽Ikuletee takwimu zote na hata ikutengenezee tracker ya kufuatilia mabadiliko yake kila siku. You can deploy a full tool with bloomberg terminals au Dar es salaam stocks exchange
2/
Freelancer anaweza kuiambia itengeneze website kamili kwa mteja 🌐
Iipange vizuri na hata kuiweka live mtandaoni. Full deployment-LIVE
3/
Wafanya biashara wadogo and wanaweza kuitumia kutengeneza matangazo, kuandika emails, na kuunda landing page ili kuongeza wateja 🚀
4/
Mwanafunzi anaweza kusema:
“Nisaidie na report yangu kubwa” 📚
AI itatafuta taarifa, iongeze charts, na kuandaa document yote. Kutengeneza PowerPoints presentations , excel sheets etc
5/
Mzazi mwenye shughuli nyingi anaweza kuiachia isimamie ratiba za watoto, meal plans, na vikumbusho vyote kiotomatiki 👨👩👧👦
6/
Unanunua nyumba? 🏠
Inaweza kulinganisha kukodisha vs kununua katika mji wako na kutengeneza calculator ya kukusaidia kuamua. Itachunguza data zote za soko la real-estate eneo husika in real-time
7/
Kama wewe ni Founder /CEO unaweza kubadilisha sales numbers kuwa dashboard ya moja kwa moja 📊 , kufuatilia mauzo na logistics za biashara yako
8/
Content creator anaweza kubadilisha idea moja kuwa website kamili yenye moving graphics na kui-update kila wiki 🚀
9/
Mtu anayeanza side hustle anaweza kuijenga app ya msingi na kuizindua ndani ya siku moja 📱na uka-deploy moja kwa moja kwenda app store / playstore
10/
Biashara ndogo inaweza kupanga messages zote za wateja kuwa tool rahisi yenye search na summaries 🔍
11/
Unaweza kutengeneza personal money tracker 💰
Inayochat na wewe na kukuonyesha matumizi yako kwenye dashboard nzuri.
12/
Mwalimu anaweza kutengeneza ramani ya interactive ya matokeo ya uchaguzi kwa miaka tofauti kwa darasa lake 🗺️
13/
Marketer wa mtaa anaweza kuendesha campaign kamili — ads, emails, na kufuatilia matokeo yote kiotomatiki 📢
14/
Mpenda fitness anaweza kutengeneza live scoreboard ya health tips na workout trends 🏋🏽♂️
15/
Mfanyakazi wa kawaida anaweza kuiachia isimamie siku yake yote:
Research za meetings, kuandika reports, na kupanga kila kitu sehemu moja 🧠
16/
Kwa kifupi — hii sio AI ya kujibu maswali tu.
Ni AI inayofanya kazi.
We’re watching the transition from:
Search Engine → Answer Engine → Action Engine
سلام. سازمان اطلاعات مرکزی (CIA) صدای شما را میشنود و میخواهد به شما کمک کند. در ادامه، راهنمایی لازم در مورد چگونگی برقراری تماس مجازی امن با ما ارائه شده است.