UZEE UMENIFIKAπ
π Hello 3rd Floor.
30 years of lessons, wins, losses.
-Today I celebrate God's goodness and the gift of another year.
Happy Birthday Gaby. π₯π
π @BarakaMaviatu#MadiniYaGaby#ThirdFloor
Kesho msipate tabu kutafuta location ya Victor Busara baada ya gawio. Nitakuwa nae kwa hakikaπ
Ntamnyoa vizuri kama kinyozi wake na kupeleka cv ya uhasibu kwenye hiki kipindi cha gawioπ€
Kabla @gabyconscious hajawa mteja wangu kuna kitu nilijifunza kwake, nisikilize kwa makini.
Ability ya kuwa na muendelezo wa kumuuzia mteja wako bidhaa au huduma na nirahisi weka tuu reminder.
Nashukuru sana brother, dubai waliniibia mtejaπ ila vifaa saivi naagiza kiboss!
Mdogo wangu @collinrumisha ana mkono mzuri sana wa kuzingatia Angles
Nikiwa Africa yeye ndo huwa anacheza na ndonga la Janja wa Kibarazani.
Ukihitaji professional mobile barber Kwa Dar mcheki +255 795 666 797