Mwnaum hairhxw kuandk kw vfp ukw unacht na mwnaum mwnzio au ht mwnmk huo ni utoto.
Mwanaume ni kuandika neno zima zima, ni ishara ya maturity na kujitambua.
Hivyo vifupi achia Form two kaka.
Niliacha kutofanya jambo flani kwa kutizama watu watanichukuliaje baada ya kugundua wao hawaogopi kufanya mambo yao kwa kuhofia mimi ntawachukuliaje.
Tangu hapo nitaishi maisha na misimamo yangu bila kuja watu wataonaje.
Kitu nachozingatia zaidi ni usahihi bila kudhuru mtu.
Badilisha mitindo ya maisha yako, Zingatia mambo ya fuatayo kwa afya yako...✍
- Epuka kutumia vyakula vyenye sukari, chumvi na mafuta mengi.
- Fanya mazoezi ya mwili, Usibweteke mwili choma, "bad cholesterol" Katika mwili wako,
- Usinywe pombe kupitakiasi, Epuka matumizi ya pombe kali, Kunywa maji kukata kiu nasio pombe au soda.
- Usitumie dawa pasipo maelekezo ya dakitari, kwa afya ya figo yako.
- Jali afya yako ya akili, Epuka uraibu wa kutizama video za ngono, Kusagana na upigaji wa punyeto,
- Fanya check up walau mara 2 kwa mwaka, hii itakusaidi kujuwa matatizo yaliyo jificha katika mwili,
- pumzika walau masaa 7-8 nimuhimu kwa afya yako ya akili,
Nb: Swala la kubadilisha mitindo wa maisha ni jambo la maamuzi nakufanyia utekelezaji zingatia afya yako, ASANTE SANA 🙏
Mungu atubariki wanaume wote kuwa nje ya kuwa na nguvu uwezo na jitihada za mapambano, atubariki pia uwezo wa kuwa na matumizi thabiti ya pesa tunazozitafuta. Hakuna kitu inauma kama unapambana kwa nguvu kusaka pesa halafu huoni ukipiga hatua kwa sababu za kishetani kama wanawake na anasa za dunia kama ulevi.
Kupambana ni jambo moja, kushika pesa ni jambo jingine na kufanya matumizi pia ni jambo la tofauti ambapo wengi tunakwama ndiomana hatuoni progress.
Unajikuta unamfahamu mtu akiwa bodaboda at 20 mpaka anafika 35 bado ni boda na anapiga viwango au mkataba sio yake.
Mtu yuko serikalini ila anaishi nyumba ya kupanga mpaka anastaafu hii sio sawa.
Kingine tumuombe sana Mungu, sometimes kajikagueni kwa hawa wa vibuyu
Usiruhusu demu wako akuletee uzungu kwenye mahusiano.
Sijui “I need space”
Sijui “Hes just a friend”
Sijui “Going for a sleep over”
Kataa.
Namna ni mbili tu.
Akubaliane na sheria zako au uachane naye.
Respect is the only way.
Cc: @Davviddi
Siku Moja Nilienda Mkoani Kufanya Show, A Day Before Show Nikaenda Club Nikakutana Na Binti Mrembo Sana Anasoma Chuo Mkoani Hapo! Nikaagiza Vombo Tukaanza Kuharibu Figo Na Maini, Tungi Lilipokolea Nikaaga Naenda Bathroom, Nikaacha Glass Yangu 🥃 Mezani!! Sasa Nakumbuka Wakati Natoka Msalani Narudi Kwenye Meza Yangu Akanifata Demu Mwingine Akaninong’oneza Akanambia PLEASE USINYWE KILE KINYWAJI CHAKO ULICHOKIACHA TUNAKUPENDA SANA ROMA WETU‼️ Kisha Akatoweka.
Kutokana Na Pombe Kunikolea Sikumzingatia Sana Demu Yule, Nilipofika Mezani Nikaona Yule Manzi Wa Chuo Amechangamka Zaidi Na Ana Vibe Na Mimi Sana AnaniPetiPeti Mara Anishike Huku Mara Anitomase Kule Akakamata Ile 🥃 Yangu Na Kutaka Kuninywesha…………………
SOGELEA TELEGRAM…..
Bros,
Usiishi na mwanamke ikaonekana kama anakuonea huruma.
If she be like,
"Kuna watu wengi wenye pesa na kila kitu kuliko wewe wananisumbua kunitongoza lakini mimi nakataa kwakua tu nakupenda"
ABORT THE MISSION, tafuta PROJECT nyingine, mpe nafasi aende kwa hao wenye pesa.
Bros.
Msioane kama wote sio wapenzi wa ibada.
Usioe mwanamke ambae sio mpenzi wa ibada.
Mwanaume unaweza kubananika na hustle za kila siku lakini unafaa angalau kuwa na mwanamke anaesali kuomba na kuhudhuria mafundisho hata ya jumapili.
Kama hakasali next her.
"Bikira hazipo sikuhizi ni bora kutafuta hata demu mwenye bodycount ndogo na kuishi nae tu"
Hiyo mind set kwa baadhi ya ma'Bro ni un useful kabisa, like how do you measure the level of bodycounts?
Bro codes.
1. Hatuli dem wa mwanetu.
2. Hatuli dada wa mwana.
3. Hatumsemi vibaya Bro mbele ya demu ili kumpata demu.
4. Bro saves a fellow bro kwenye changamoto hatakama hamfahamiani.
5. Ukimuona dem wa mwanao analiwa na msela tunamsanua mwana.
6. Ukimuona mwana na demu mwingine usimwambie shemeji yako.
Bros before holes.
Bros jioni nzuri iliyopoa ya kuwakumbusha kwanba.
1. ONCE A CHEATER ALWAYS A CHEATER.
2. NO ACCIDENTARY CHEATING FOR A LADY.
[It take lots of her 🐈 to get wet]
3. ONCE A LIAR ALWAYS A LIAR.
4. MWANAMKE MASIKINI NI BORA KULIKO MWANAMKE MWENYE NJAA NA TAMAA.
DONE.
"YESU - PELIKANE"
PELIKANE (Pelican) ni moja ya alama inayomwakilisha Kristo. Ili kulinda vifaranga wake wasife njaa nyakati za ukame mkali, Pelikane hujichoma kifua chake kwa mdomo wake na kuwalisha vifaranga wake kwa damu yake mwenyewe.
Kwa mujibu wa hadithi nyingine, ikiwa vifaranga vya pelikane wakifa, Pelikane hufungua kifua chake na kuwafufua akiwapunyiza kwa damu yake mwenyewe.
Kwa kuzingatia mapokeo haya yaliyokuwepo hapo awali, Wakristo wa mwanzo walichukua Pelikane kama ishara ya Kristo Mkombozi anayetoa maisha yake ili kuwaokoa walio wake kutoka katika kifo (dhambi) na kuwalisha kwa Mwili na Damu yake katika Ekaristi.
Hii ndio hasa chimbuko la moja ya beti za wimbo pendwa tuuimbao wakati wa kuabudu Sakramenti kuu unaosema:
Yesu Pelikane tutazame,
Na kwa Damu yako tutakase,
Tone moja ndilo linatosha,
Na dunia yote yaokoka!
Bwana Yesu, utusafishe kwa damu yako. Kwa kuwa kwa tone moja unaweza kuuponya ulimwengu wote, Ponya na kutuweka huru kwa nguvu ya Damu yako ya Thamani kuu. Utuimarishe kwa Mkate wa Malaika. Utulishe kwa Mwili na Damu yako, chakula chenye kutoa uhai kwa roho zetu, Amina.