Moja ya kitu kinaninyima usingizi recently ni hili swala la wanaharakati kuwa wanalipwa!! (Kama ni kweli)🤔
Hizo taasisi au watu binafsi wanaolipa wanaharakati, huwa wanatazama vigezo gani kukulipa?
Influence? au Numbers (Followers)
au uwezo wa kuongea na kuandika au engagement ya social media au nini?
Binafsi nimeanza hii course ya harakati tokea siku namaliza form six na kutoa wimbo wangu wa kwanza Tanzania (2007) nikiwa very young!
Hadi leo nina Teremsha bunduki 2026!
Miaka 19 kwenye hizi harakati
NA SIJAWAHI KUPEWA HATA SHING 10 TOKA KWENYE HIZO TAASISI!!
WALA KULIPWA NA MTU BINAFSI ILI NIFANYE HIKI NINACHOKIFANYA!!
Na kuna muda unakuwa na uhitaji haswa, tena sometimes ni uhitaji wa kufanya projects hizi hizi za kusaidia hizi harakati….. you just end up using your own pocket money!!
Kwenye hizi harakati nakutana na challenge nyingi, nakosa opportunities na michongo kwasababu naonekana niko against na gavoo na kuna muda napoteza hata kidogo nilichobakiza!!
Nabaki empty hadi familia inakwambia si utemane na hizo mbanga……nawajibu I WAS BORN TO DO THIS!!
Ni kama roho/nafsi inakataa ku-give up!!
Tunafanya haya kwa passion,
kuna a driving force tu inatusukuma kutetea, kukemea, kushauri na kupaza sauti tunapoona haki inakosekana, maendeleo hakuna, rushwa na ufisadi kwa viongozi vinakithiri, umasikini unazidi kwetu sisi raia, uongozi na utawala mbovu, shida za ajira na miundo mbinu, watu kutekwa, kufungwa na kuuliwa bila hatia na kucreate awareness kwa raia kuhusu issue za kisiasa na kijamii etc.
Nikisikia mtu anasema kuyafanya hayo ni unalipwa…..nawaza nakosa majibu!!
Wanatumia vigezo gani kukulipa?
Hebu mtu anieleweshe pengine napishanaga na gari la mshahara!!
Followers ninao (1.3M) influence pia si haba nikitoa miwa inapokelewa mtaani!! MBONA MIMI SILIPWI?
Nways tusiache hizi harakati hata kama hazitupi pesa kwa sasa, faida yake mbeleni ni kubwa zaidi kwa nchi nzima na vizazi vijavyo!!
Kama nimeandika kwa hisia sana ee?😁
Mwachieni Tundu Lissu #FreeTunduLissu. Ni mtoto wa Tanzania, aliyenusurika KIFO baada ya kupigwa risasi 32 kikatili 2017. Kuendelea kumweka GEREZANI kwa tuhuma za UHAiNI ni dhambi kwa Mungu, ni kuitangazia dunia kuwa TZ ina Katiba mbovu, na ni AIBU yetu sote
Usiku huu SC Tundu Lissu analala sakafuni gerezani Ukonga kwenye chumba cha futi 7 kwa 4, wakati muuwaji wa maelfu ya Watanzania amelala Ikulu. Sijui SC Lissu anawaza nini, Ila, nina hakika, ana amani - na anamshukuru Mungu kwa mapito haya. Mioyo yetu imejawa na shukrani🙏
Yeye sio sababu ya Umaskini katika Taifa letu.
Yeye sio sababu ya rushwa katika Taasisi mbalimbali.
Yeye sio sababu ya deni la Taifa kuongezeka.
Yeye sio sababu ya upotevu wa mapato Serikalini.
Yeye sio sababu ya kukwama miradi ya maendeleo.
Kwanini yupo Mahabusu???
Diamond in the rough, Joseph Sinde Warioba - a true gem, Tanzanian patriot. Too often, we fail to celebrate legends while they are still with us. Yet you remain one of a kind - I personally salute you. You are the voice and the difference needed, especially in this moment when truth is under siege for thousands and generations to come. Your integrity and courage continue to light the way. History will remember you. Today, I shared your name with a US Senate representative 🇺🇸 - let truth and justice lead 🇹🇿.
Fortunatus Buyobe amekematwa na askari kutoka Dar Central Police nyumbani kwake jioni hii. Hatujui wanampeleka wapi. Buyobe amekuwa akitafutwa atekwe sababu ya maoni yake. Huu ushenzi haukubaliki. Free Fortunatus Buyobe Now!
ON BEHALF OF OTHERS AS TANZANIANS GEN Z (🇹🇿 🇹🇿)
WE HATE DIAMOND PLATINUM
WE HATE HARMONIZE
WE HATE RAYVANNY
WE HATE ALI KIBA.
WE HATE BILLNASS
WE HATE ZUCHU
WE HATE SHILOLE
WE HATE LEONARDO
WE HATE MWIJAKU BUTTON
WE HATE SALIM KIKEKE.
TAG, UNFOLLOW AND BLOCK THEM.💔🙏