@Ommyfitness Hakuna chakula kilicho kizuri tuu au kibaya tuu kila chakula kina umuhimu, cha kuzingatia tuu tumia hicho chakula kadiri mwili wako unavyojitaji na mahitaji ya mwili hutofautiana baina ya mtu na mtu
@qatarairways Hapana ni kanisa liloanza mwaka 1932 na ilikuwa ikujulilana kama swedish free mission na ilianzia kijiji kinachoitwa Tazengwa huko Tobara. Bàada ya uhuru jina lilibadilika na kuitwa The Pentecostal churches social association in Tanganyika
@BongeLaAfya Kwanza kabisa kampuni nyingi za soda hasa zilizopo Tz hazitumia hii corn syrup bali zinatumia sukari nyeupe au white refined sugar na ambayo weupe wake lazima uwe chini ya 45 ICUMSA. Kwenye madhara ya sukari hii inategemea na mambo kadha kama vile aina ya kazi ya mtumiaj
@Thereal_taivina Kadiri siku zinacyoenda kuna kamstari kadogo sana kati ya kuwa mwanachama wa ccm na kushabikia hizi timu za kariakoo,yani ni vigumu kuwa shabiki kindaki ndaki wa hizi timu harafu usiwe mfuasi wa kijani
@ReganTesla_ Shida kubwa iko kwenye wage order ambayo serikali hupanga kima cha china cha mishahara kwenye kila sekta. Hivyo hao wahindi na wengine hupita humo humo kwenye iyo wage order
@Pyroxenite81@MrShitcoin_Tz@Adventure_36 Kaliua to Malagalasi ni lami tupu , kipande cha vumbi na ambacho kinawekwa lami ni kutoka Ilunde to malagarasi lakini lunde uvinza lami pia
@mpambazi Hakuna unachokwepa hapo, asali imeundwa na glucose na fructose kama ilivyo sukari isipokuwa kwenye asali kuna molecules nyingi za fructose kuliko glucose. Na sukari ina glucose nyingi kuliko fructose
@noor_abdul@TBConlineTZ@TaifaStars_ Toka wameingiza siasa kwenye mpira wetu tena siasa ya upande mmoja,niliamua kukaa pembeni. Sasa nafuatilia tuu soka la ulaya