@eastafricatv@Blessing_teba Basi kama hamna umuhimu wa kupiga kura basi hata umuhimu wa kupiga campaign haupo. Just hayo ma billion ya Ela kwaajili ya campaign na vifaa vya kupigia kura na posho zote zielekezwe kwenye miradi. Bado nchi yetu imavuja sehemu nyingi kimiundombinu.
""""HURUMA SIO MALEZI narudia HURUMA SIO MALEZI"""
Alisikika mzee mmoja kwenye gari akisisitiza Kwa vijana wake. Baada ya kutoka kwenye utajiri na Kuwa Masikini