@Jambotv_ Izo bunduki naamini jeshi letu la polisi imara limeshazishikilia. Naamini wataita press na kutuonesha na kutufunulia wa harifu. Nchi yetu haipaswi kuchezewa namna hio wao wanavotaka. Wakomeshwe na wachukuliwe hatua kali za kisheria
@PMadeleka Kwanini jeshi la polisi na inteligensia wasiwaahike hao watu. Au wawaache ili wakianza kupigwa na watu ambao sio askari askari wawakanate waliovalia kiaskari ili wawahoji