@rollymsouth@NiiteSonga Kwani aliwahi kukuambia/kukutangazia hakopi?
Halafu toka afariki mbona mpaka sasa hatujaambiwa na taasisi za kimataifa kuwa ali cook data za uchumi.
@SuluhuSamia Ungesema tu heri ya mwaka mpya na kuishia hapo kuliko kuleta hizi bra bra za “ulikuwa mwaka wa kazi na mageuzi” wakati kazi umeshindwa hata zile ambazo uliachiwa na mtangulizi wako uziendeleze. Mwaka mbaya sana kwa wananchi wengi. Mageuzi yameleta Wahuni na matepeli serikalini
@PMadeleka Ushujaa wake ni upi? Kipi ambacho kimebadilika kitaasisi baada ya matendo yake! Hamza ni muuwaji kama wauwaji wengine. Wewe si uliwekwa gerezani pamoja na “ushujaa” wa Hamza kutokea kama unavyodai!
@fatma_karume Kama PAULO ataingia madarakani bila ya kupigiwa kura, nani wa kulalamikiwa?
Unamlaumu PAULO kama ndiye aliyejiteua kuwa Mwenezi wa CCM Taifa.😁 Peleka lawama kwa aliyempendekeza kwenye NEC ya CCM. Elekeza RISASI zako kwa muhisika mkuu(Mwenyekiti CCM Taifa)
@WaldschratTomke @DavidcharlesTz@OmegaAdamant@visegrad24 I take it you don’t know Africa! No country in Africa is in/will be in deep trouble because of grain from Ukraine.
"Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya na tuna mengi sana ya kumsema,aliongoza Nchi kama mali yake binafsi,lakini tusimsingizie hakufanya biashara na Raslimali za nchi yetu,aliwavuruga sana waliofanya biashara na Raslimali za Nchi yetu.Kwenye hili la kukabidhi Nchi kwa wageni tusimsingizie, ni dhambi kumsemea uongo" @TunduALissu
@fatma_karume egalitarian Vs elite, walalahoi Vs wapigaji.
Hii nchi kuna kakikundi kalidhani wao ndio wenye haki ya kuamua mstakabali wa taifa kwa sababu ndio wanafaa kuwa viongozi!
Magufuli amewafungua macho egalitarians na plebeians ambapo legacy yake itatesa hako kakikundi kwa miongo