Unaweza ukawa sahihi ila TULIPOFIKA hatuhitaji siasa za kistaarabu, Kama WANAWEZA KUUA NDUGU NA WATOTO WETU na bado wakaongea kama kuku waliokatwa kichwa UTU WAO NI UPI? Kama picha ya hivyo tu imekuumiza basi bado hujaona.. usimchagulie mtu silaha ya kutumia 🤝
Siku moja hapa kuna kijana alipost picha yenye kutweza utu wa Mheshimiwa Heche pamoja na viongozi wengine wa CDM. Nilimkanya hadharani kwamba aache siasa za kishamba. Yule kijana akanijibu, “Brother Thom, unawatetea CDM wakati wao ndiyo wanaongoza kwa kutukana na kutweza utu wa viongozi wetu, tena wakiongozwa na viongozi wao.” Nikapotezea.
Lakini ukweli ni kwamba mara nyingi baadhi ya viongozi au waliowahi kuwa viongozi wa CDM wamekuwa mstari wa mbele kwenye siasa za matusi na kudhalilishana. Vijana wengi wa vyama vya upinzani hasa CDM wamejikita zaidi kwenye siasa za hasira, chuki na kejeli kuliko hoja za msingi. Wengi hawana ajenda ya kujenga taifa zaidi ya kufanya mambo ya hovyo kwa jazba.
Imagine, huyu amewahi kuwa kiongozi wa BAVICHA Taifa 😄. Je, siku mkichukua nchi nae atakuwa kiongozi wa serikali? @Twaha_Mwaipaya siasa za namna hii waachiwe watoto, wapumbavu na washamba labda kama na wewe upo kwenye kundi hilo.
Nafahamu kuna madhira na changamoto ambazo mmepitia au mnazopitia, lakini hayo yasitufikishe mahali pa kupoteza utu wetu kabisa kwa kupost ujinga mitandaoni. Hii sio aibu kwa viongozi tu, bali hata kwako binafsi inapunguza heshima yako mbele ya jamii.
Tuache siasa za matusi na kudhalilishana. Kueni watu wazima. ACHENI USHAMBA.
Historia ya marehemu siku ya mazishi huwa inabishanisha na kugombanisha watu. Historia itasema,
Marehemu kaacha mke mmoja watasema zaidi. Kaacha watoto wawili watasema wapo sita. Kafa kwa malaria watasema kalogwa au magonjwa zinaa.
Historia ya marehemu ipigwe marufuku😂
@UlrickTumaini @iamBEBERU Kosa ni lako kwenye choice ya mwanamke wa kuzaa nae. Pata muelewa uone raha yake. Nb: watoto ni baraka na hakuna wa nje wote ni watoto wako.
Ezekiel mimi ukitaka na namba yangu ya simu nitakupa, WEWE NI MPUMBAVU. usifikiri kila mtu ni mjinga kiasi chako... wengine hatuogopi kutishiwa kufa, tutakufa tu hata Msipotuua. Hata nyinyi mtakufa pia.