Tanzania based nature photographer and filmmaker.
I love traveling,nature,flowers,animals,waterfalls. Welcome to Tanzania and enjoy amazing wildlife adventures.
@FamWorld2025 They are just smarter that all the other , it's not like the give a shit about you, they just know what's in their best interest and how to get it.
@HKigwangalla Kwa mantiki iyo basi wabunge hawafai kuwa mawaziri maana wakianza kutetea serikali badala ya wananchi waliowachagua ,huoni wanakuwa wamacha majukumu yao ya msingi?
@HKigwangalla Mkuu sip kama watu wanapenda kufanya kamari , kazi hatuna ,maisha magumu, watu wana bet ni kama chanzo cha mapato wapate chochote kitu wala wale na familia.
Ukiwa na kazi na mshaara mzuri huwezi kuelewa hili.
Napinga ndoa za utotoni kwa sababu, huwanyima mabinti fursa mbalimbali kama elimu na pia huwafanya washindwe kutimiza ndoto zao na kuwaweka katika hatari mbali mbali za kiafya kimwili na akili.
#binti#EndChildMarriage@BintiTZ2@UNICEFTanzania