Familia mwenzetu ndugu @Enemy_19 jana jioni alipata ajali akavunjika mguu, kinatakiwa kiasi cha pesa kwa ajili ya yeye kufanyiwa operation kwasababu mfupa ulitoka nje hivyo anatakiwa afanyiwe upasuaji pamoja na matibabu mengine yupo muhimbili MOI
0747164938 AGGAI NNKO
🤲🙏