Uongozi wa klabu ya Geita Gold umethibitisha kuwa mkataba wake na kinara wa magoli Ligi kuu ya NBC msimu wa 2021/22,George Mpole umemalizika na kwamba makubaliano ya pande zote mbili yamefikiwa kuwa Mpole yupo huru kujiunga na klabu nyingine kuanzia leo Desemba 7, 2022.