@TuliaAckson Kila nabii na msimu wake .yote yatapita na watu wake.kuna maisha baada ya kifo .......Usipotengeneza na mungu ....dunia haitakukumbuka .....Read more
@fatma_karume Wewe naye ndo bure kabisa ,wewe si ndo ulikuwa ukilalamika kwamba hakuna anaekusaidia kukemea utekaji.leo hii umepata msaidizi umeanzisha tena udini
@Phbhimself Siku zote mimi nawambia .kuna mambo mengi sana baadhi ya watu wanafahamu lakini hawataki kuiambia dunia .
Ebu fikiria shuleni unafundishwa eti duniani kuna bara saba alafu mabara mawili unaambiwa hakuna mtu anaeishi .hivi neno bara ni nini.?