Tanzania ina bandari inayotoa huduma kwa nchi saba zisizo na bandari.
Majeshi ya nchi za Zambia, Zimbabwe, Rwanda, DRC, Malawi, na Uganda ni sehemu ya wanufaika wa bandari yetu.
Nchi zipitishazo zana zake za kivita kupitia nchi yetu, hupenda usiri zana zao zisijulikane kwa asiyehusika bila sababu.
Zamani (kwenye utumishi wangu huko nyuma and under backup Magufuli, the then Minister for Infrastructure and Transportation) niliwahi kuleta kizaazaa kwa kuzuia convoy ndefu ya mizigo ya jeshi la Rwanda kwa kukosa vibari husika.
Kwa wenye kumbukumbu, kama waliwahi kuona wanajeshi wa Rw na zana zao za kivita pale opposite na uhasibu, basi hii ndio ilikuwa sababu.
Kampuni ya JV (Maltauro- Spencion) mkandarasi aliyekuwa akitengeneza barabara ya Mandera (Dar Port- Ubungo), naye alikuwa akimlalamikia Tanroads matumizi ya barabara ya mradi ambayo bado hajaikabidhi kupitisha mizigo ile mizito ya jeshi.
Pamoja na yoye sheria husika zilifatwa kwa serikali ya Rw kulipia surcharges za uhalibifu ambao mizigo yao ingeufanya kuanzia bandarini hadi Rusumo. Pamoja na haya, tukio hili likatuachia utaratibu mpya ili kulinda usiri wa mizigo ya jeshi letu na majirani wake dhidi ya raia kama sisi.
Hapa ndipo 95 KJ, kikosi jeshi cha logistical support and Engineering kikakasimiwa majikumu yote yanayohusu mizigo ya majeshi yanapotumia bandari yetu.
Kwa hiyo kwa sasa wizara za ulinzi na ujenzi/uchukukuzi, kwa pamoja hushirikiana kushauriana juu ya ubebaji huu bila kuathiri sheria zilizopo.
So mizigo yote ya jeshi huwa na Escort za jeshi lao na usafirishwa usiku kwa sababu za confidentiality.
Tukiwa tunasubiri maonesho ya wafanyabiashara mwezi ujao, naamini bado huduma za jeshi letu kwa majirani wake zinaweza zikawa zinaendelea.
Niliacha kuleta mikeka humu kwasababu tukiwin mlikuwa mnasema fake, mara ina editiwa mara tunalipwa na makampuni licha ya kuweka mikeka kabla ya games, Ila bado haitoshi hata hiyo mikeka tunayotoa huko nje ya hii App bado inawauma?
MNATAKA NINI?
Kuna siku nilikutana na mtoto mmoja wa kishua town, nilimwambia “mi nakaa Gomz” akaniuliza ndo wapi nikajibu Gombolamboto bado akauliza tena “iko wapi??”
Aagh! niliishiwa nguvu wazee na nikajua kumbe mi bado siishi Dar.😅
SIR GE0RGE KAHAMA INTERNATIONAL AIRPORT. MSALATO. DODOMA. Pongezi kwa kazi nzito ya kukamilisha ujenzi wa uwanja wa Dodoma ifikapo Septemba. Pendekezo langu ni jina la kumuenzi Mkurugenzi Mtendaji wa kwanza wa CDA, SIr George. Dodoma iliyopangwa ni yake. Mwanaushirika, Mpigania uhuru. Mmojawapo wa mawaziri katika 1st Cabinet. Rafiki wa karibu wa Mwalimu. Naomba kuwasilisha.